Sioni tofauti ya Baba Levo na H Baba

Sioni tofauti ya Baba Levo na H Baba

Darucha

Senior Member
Joined
Dec 28, 2020
Posts
111
Reaction score
211
Mnaomponda baba levo kwa kumuita chawa kwa diamond hivi hammuoni h baba. Kiufupi H Baba naye anajipendekeza kwa Harmonize ili kutetea ugali wake wa kila siku mbaya zaidi jamaa anavuka mipaka kwa kusema yeye ni msanii Bora namba mbili tz baada ya harmonize kusema kweli huyu jamaa watz tumepigwa za uso mchana kweupe afadhali na baba levo kidogo tunaweza kusema anaenfluence lakini h baba yy no kumponda mond tu kweli nimeamini ukosefu wa ajira no janga kwa taifa zima
 
Mnaomponda baba levo kwa kumuita chawa kwa diamond hivi hammuoni h baba.kiufupi h baba naye anajipendekeza kwa harmonize ili kutetea ugali wake wa kila siku mbaya zaidi jamaa anavuka mipaka kwa kusema yeye ni msanii Bora namba mbili tz baada ya harmonize kusema kweli huyu jamaa watz tumepigwa za uso mchana kweupe afadhali na baba levo kidogo tunaweza kusema anaenfluence lakini h baba yy no kumponda mond tu kweli nimeamini ukosefu wa ajira no janga kwa taifa zima
Tofauti yake ni kwamba Beef la H.Baba na Diamond limeanza zamani mnooo hata kabla Harmonize hajatoka.

Kwahiyo anachokifanya H.Baba ni kuungana na kila asieelewana na Diamond.

Na ukimsikiza H.Baba kama mtu huru unaona ni kweli kabisa Diamond alimwibia idea yake ya Nataka KULEWA enzi hizo wakirekodi kwa KGT.

Lakini Baba Levo ni chawa kabisa, anamwabudu yeyote Mwenye pesa. Ndio maana kamtema Shilole kahamia kwa Diamond.

Mtu kama Baba Levo wala usishangae siku akihamia kwa Harmonize huyo anayemponda kila siku.
 
Huyo H baba ana single gani hata moja inayokumbukwa tangu anakata mauno kama " kanga moko"?
 
Wote wana njaa, na kula yao ipo mikononi mwa wengine.
 
Mnaomponda baba levo kwa kumuita chawa kwa diamond hivi hammuoni h baba. Kiufupi H Baba naye anajipendekeza kwa Harmonize ili kutetea ugali wake wa kila siku mbaya zaidi jamaa anavuka mipaka kwa kusema yeye ni msanii Bora namba mbili tz baada ya harmonize kusema kweli huyu jamaa watz tumepigwa za uso mchana kweupe afadhali na baba levo kidogo tunaweza kusema anaenfluence lakini h baba yy no kumponda mond tu kweli nimeamini ukosefu wa ajira no janga kwa taifa zima
Mmoja alishawahi kufungwa jela,mwingine mfungwa mtarajiwa...
 
Mnaomponda baba levo kwa kumuita chawa kwa diamond hivi hammuoni h baba. Kiufupi H Baba naye anajipendekeza kwa Harmonize ili kutetea ugali wake wa kila siku mbaya zaidi jamaa anavuka mipaka kwa kusema yeye ni msanii Bora namba mbili tz baada ya harmonize kusema kweli huyu jamaa watz tumepigwa za uso mchana kweupe afadhali na baba levo kidogo tunaweza kusema anaenfluence lakini h baba yy no kumponda mond tu kweli nimeamini ukosefu wa ajira no janga kwa taifa zima

Mkuu baba ni baba awe baba levo,baba H ,babayalo ay baba ngida.
 
Nadhani ifikie pahala sasa serekale iingilie kati matumizi ya hili jina "baba" kwanini mtu akijiita tu baba anakua chawa mbobevu
 
Back
Top Bottom