Sioni umuhimu wa daraja la Aga Khan - Coco beach kwa sasa

Raisi hamna kitu linajengwa daraja lisilo na umuhimu wowote ili iweje kwamba wazungu watakuja kutalii kwenye hilo daraja...!! Mme mzurumu mkulima wa korosho mnamlipa mkorea kwa daraja lisilo na tija hiyo ni sawa na starehe tu anasa
 
Sasa Buguruni mataa si anakaa traffic police ambae anatoa priority kwa highway(mandela road). Mbona hili halihitaji hata jicho la pili?
Haya tusubiri tuone, kwa nini tazara wakaona asiwepo trafic ila Buguruni awepo! Na daraja la Agakhan kipaumbele ni kwa akina nani?? Tumia jicho la 3 kama uelewa upo
 
Hanasifu - Muhimbili/Fire.
 
Sasa hivi munalipa kodi na kudai maendeleo ya madaraja mengi kila sehemu. Mbona zamani kodi mulikuwa munalipa na hamukudai hayo madaraja?
 
Reactions: Oii
Sio kweli wengi tunaotokea Kawe au Tegeta tutapita pale karibu na ubalozi wa Wamerikani, pinda pale namanga msasani tokea kule cocobeach na kupita hilo daraja. Hakika walalahoi wengi tutalitumia hilo Daraja mku.
 
Huu ujinga wa kutengenezeana flyover za urefu wa kama pale Tazara halafu kutangaza zinasaidia kupunguza foleni ni kusababisha Tanzania nzima kuonekana machizi
Mkuu hili ni daraja la kawaida na si flyover. Ni daraja la kawaida linalovuka maji kama lile la Brooklyn Bridge na mengine kama hilo katika nchi zilizoendelea. Usilinganishe na zile flyover za nchi kavu zinazokwenda makumi ya kms.
 
Huu ujinga wa kutengenezeana flyover za urefu wa kama pale Tazara halafu kutangaza zinasaidia kupunguza foleni ni kusababisha Tanzania nzima kuonekana machizi
Pumbumbavu kweli...umeandika mini sasa?
 
Hata pesa ya kampeni huioni?

 
Niliuliza nikaambiwa wanaoishi huko ndio wanaoendesha nchi...mtu mmoja wa kule ni sawa na watu elfu hamsini wa mbagala
 
Halafu hela yenyewe ni mkopo kutoka Korea Kusini,tusibir kuliwaa
 
Ninapoona mafuriko ya jangwani nakumbuka nilishawahi kushauri ujenzi wa flyover ya Magomeni-Fire badala ya daraja la Aga Khan-Cocobeach.
 
Mawazo yako yanadumu na leo au sasa yanaonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…