JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,868
- 6,453
Inasikitisha, kama si kuchekesha!.
Hivi kweli tuko serious kama TAIFA!? Ama kila kitu kinafanywa kwa mazoea?
TAIFA lenye watu zaidi ya watu mil 60, tunashindwa kitu kidogo kama hichi?
Hii ni aibu! Ama huu ni mradi endelevu wa mkubwa fulani!?
Mbona tunapiga sana kelele kuhusu mamlaka ya NIDA Lakini ndio kwanza serikali kama haisikii kabisa.
Swala dogo kama hili majirani zetu Kenya walimaliza na wakasahau.
Mfano mdogo tu...mimi nimejiandikisha tangu mwaka 2017!.... HADI sasa ni picha za utambuzi tu zilirudi serikali za mtaa, mzazi wangu mzee alipata namba lakini mimi sikupata.
Tunajisifu kuwa na wataalamu wa TEHAMA....Wameshindwa hata Kutengeneza mfumo tu wa kupata NIN Kwa njia ya simu tu?
Mfumo uliopo sijui ulitengezwa na vibwengo!? Maana hata ukiweka details halisi kabisa original ukiwa na I'd ya NIDA mkononi...unafetch error!!! Na I'd ni original! Inashangaza.
Kweli tuko serious!? Na zoezi hili halikuanza rasmi 2017 lilianza kabla ya hapo. Kwa watumishi wa umma.
Kibaya zaidi ni kwamba...! Serikali inatoa punishments kwenye sekta binafsi za ajira, KWA mfumo Ambao yenyewe inajua kuwa umefeli.
Inalazimisha kwamba kigezo cha kwanza kupata ajira(sasa ni rasmi sekta binafsi) ni lazima uwe na NIN (NIDA) NDIPO UAJIRIWE!
Imefungulia mianya ya Rushwa ya wazi wazi katika mamlaka za NIDA ZA WILAYA... hasa huku niliko mpakani...Ili upewe namba ya NIDA on the spot ukapate ajira.....ni lazima ufunguke mfukoni....
Serikali imeamua kuihalalisha Rushwa ya wazi wazi sekta ya ajira...kwa kigezo cha kuhonga Ili upatiwe namba ya NIDA...! Ili UAJIRIWE sekta binafsi
Pengine haya majukumu ya NIDA yangerudishwa tume ya Taifa ya uchaguzi tu.
Maana tume haikuwahi kufeli kutoa I'd za mpiga kura.....Zilikuwa zikitolewa on the spot
So sad! hii nchi inakera sana mpaka unajuta kuzaliwa hapa.
Huku nida huku Bandari!....yaani tabu tupu!