Sioni umuhimu wa kuvaa Barakoa na Social Distance kwa Tanzania, nisaidieni

Barakoa siiwezi, inaninyima hewa, kuongea tabu, kupumua tabu madam usumbufu. Kwa ufupi hawa WHO siwaamini mapendekezo yao ni kama wanataka kutuua tu. Hata barakoa zina quality zake si yoyote inazuia virus.

Barakoa zinasaidia kutokugusa puani na mdomoni.

Nadhani kama ukijikita kwenye handsoff puani, mdomoni na machoni ukaongezea na ka social distance bila mabarakoa bado kunakuwa na kaunafuu.
 
Ni sawa, namna gani kushika simu, hela na vitu vingine. Mara ishushwe kidevuni, ipandishwe tena, ushike mlango wa daladala, ufute jasho? Bado tu hujapata corona. Mi nadhani ili tudeal na corona tupandishe kinga ya mwili tu mengine ni usanii tu.
 
Nimetafakari sana kuhusu hali halisi ninayoiona kitaani kuhusiana na mada tajwa hapo juu. Social distance ya mita 1 au zaidi ni usanii. Ukiingia kwenye daladala au kwenye masoko yetu hii kitu hakipo kabisa.

Sasa kwanini tunazungumzia kitu ambacho practically kwa watu was chini hakiwezekani. Suala LA Barakoa ndo usiseme, ni maigizo haswa. Kanuni inasema usiguse uso, pua wala macho.

Sasa najiuliza Mimi mwenyewe Mara ngapi najifuta jasho kwa kutumia leso yangu. Inajulikana kwamba ukishika hela mkononi unaweza ukapata Corona, sasa najiuliza je kila Mara ukishika hela lazima unawe? Mara ngapi? Mbona ni issue kwa wafanyabiashara na wanunuzi.

Kwa nionavyo, sioni mantiki ya kuvaa barakoa au social distance, naona ni upuuzi mwingine wa hali ya juu hasa ukizingatia barakoa inapunguza kiwango cha Oksijeni na hatimaye kusababisha stress inayopunguza kinga ya mwili.

Nawasilisha
Stupidly kabisa..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayaaa

IMG-20200526-WA0018.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata namba moja mwenyew sijawahi ona amevaaa barakoa.
 
Ni sawa, namna gani kushika simu, hela na vitu vingine. Mara ishushwe kidevuni, ipandishwe tena, ushike mlango wa daladala, ufute jasho? Bado tu hujapata corona. Mi nadhani ili tudeal na corona tupandishe kinga ya mwili tu mengine ni usanii tu.

Kudhani kuwa waliopata Corona walikuwa na upungufu wowote wa kinga ni kudhani kuwa walikuwa na ukimwi.

Yameuguwa majina mazito mazito kiasi kudhani hao walikuwa na cha ziada cha kufanya kuhusiana na afya zao kabla ya hatari bado pia itakuwa ni kuupiga chenga ukweli.
 
Tatizo njia zote zinazopendekezwa zinapunguza kinga ya mwili na kuufanya mwili kuwa susceptible kwa magonjwa. Virus haviwezi kuwa na athari bila mwili kuwa na ukimwi.
 
Nimetafakari sana kuhusu hali halisi ninayoiona kitaani kuhusiana na mada tajwa hapo juu. Social distance ya mita 1 au zaidi ni usanii. Ukiingia kwenye daladala au kwenye masoko yetu hii kitu hakipo kabisa.

Sasa kwanini tunazungumzia kitu ambacho practically kwa watu was chini hakiwezekani. Suala LA Barakoa ndo usiseme, ni maigizo haswa. Kanuni inasema usiguse uso, pua wala macho.

Sasa najiuliza Mimi mwenyewe Mara ngapi najifuta jasho kwa kutumia leso yangu. Inajulikana kwamba ukishika hela mkononi unaweza ukapata Corona, sasa najiuliza je kila Mara ukishika hela lazima unawe? Mara ngapi? Mbona ni issue kwa wafanyabiashara na wanunuzi.

Kwa nionavyo, sioni mantiki ya kuvaa barakoa au social distance, naona ni upuuzi mwingine wa hali ya juu hasa ukizingatia barakoa inapunguza kiwango cha Oksijeni na hatimaye kusababisha stress inayopunguza kinga ya mwili.

Nawasilisha
Elezea kutokuona umuhimu wa barakoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Social distance & barakoa havina msaada wowote kwenye kupambana na virus wa corona ndio maana unaona kiongozi wetu nambari moja hajawahi kuvaa barakoa toka hili dude litue huku bongo na corona haijawahi hata kumsogerea
 
Ni maamuzi tu, ila huo ugonjwa upo hata mida hii yupo mmoja anazikwa huko kwetu, kaacha mahela magari majumba mke watoto, kaondoka alone, it is a matter of decision.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom