Barakoa siiwezi, inaninyima hewa, kuongea tabu, kupumua tabu madam usumbufu. Kwa ufupi hawa WHO siwaamini mapendekezo yao ni kama wanataka kutuua tu. Hata barakoa zina quality zake si yoyote inazuia virus.
Ni sawa, namna gani kushika simu, hela na vitu vingine. Mara ishushwe kidevuni, ipandishwe tena, ushike mlango wa daladala, ufute jasho? Bado tu hujapata corona. Mi nadhani ili tudeal na corona tupandishe kinga ya mwili tu mengine ni usanii tu.Barakoa zinasaidia kutokugusa puani na mdomoni.
Nadhani kama ukijikita kwenye handsoff puani, mdomoni na machoni ukaongezea na ka social distance bila mabarakoa bado kunakuwa na kaunafuu.
Stupidly kabisa..!Nimetafakari sana kuhusu hali halisi ninayoiona kitaani kuhusiana na mada tajwa hapo juu. Social distance ya mita 1 au zaidi ni usanii. Ukiingia kwenye daladala au kwenye masoko yetu hii kitu hakipo kabisa.
Sasa kwanini tunazungumzia kitu ambacho practically kwa watu was chini hakiwezekani. Suala LA Barakoa ndo usiseme, ni maigizo haswa. Kanuni inasema usiguse uso, pua wala macho.
Sasa najiuliza Mimi mwenyewe Mara ngapi najifuta jasho kwa kutumia leso yangu. Inajulikana kwamba ukishika hela mkononi unaweza ukapata Corona, sasa najiuliza je kila Mara ukishika hela lazima unawe? Mara ngapi? Mbona ni issue kwa wafanyabiashara na wanunuzi.
Kwa nionavyo, sioni mantiki ya kuvaa barakoa au social distance, naona ni upuuzi mwingine wa hali ya juu hasa ukizingatia barakoa inapunguza kiwango cha Oksijeni na hatimaye kusababisha stress inayopunguza kinga ya mwili.
Nawasilisha
Nimetafakari sana kuhusu hali halisi ninayoiona kitaani kuhusiana na mada tajwa hapo juu. Social distance ya mita 1 au zaidi ni usanii. Ukiingia kwenye daladala au kwenye masoko yetu hii kitu hakipo kabisa.
Sasa kwanini tunazungumzia kitu ambacho practically kwa watu was chini hakiwezekani. Suala LA Barakoa ndo usiseme, ni maigizo haswa. Kanuni inasema usiguse uso, pua wala macho.
Sasa najiuliza Mimi mwenyewe Mara ngapi najifuta jasho kwa kutumia leso yangu. Inajulikana kwamba ukishika hela mkononi unaweza ukapata Corona, sasa najiuliza je kila Mara ukishika hela lazima unawe? Mara ngapi? Mbona ni issue kwa wafanyabiashara na wanunuzi.
Kwa nionavyo, sioni mantiki ya kuvaa barakoa au social distance, naona ni upuuzi mwingine wa hali ya juu hasa ukizingatia barakoa inapunguza kiwango cha Oksijeni na hatimaye kusababisha stress inayopunguza kinga ya mwili.
Nawasilisha
Ni sawa, namna gani kushika simu, hela na vitu vingine. Mara ishushwe kidevuni, ipandishwe tena, ushike mlango wa daladala, ufute jasho? Bado tu hujapata corona. Mi nadhani ili tudeal na corona tupandishe kinga ya mwili tu mengine ni usanii tu.
You mean what!
Tatizo njia zote zinazopendekezwa zinapunguza kinga ya mwili na kuufanya mwili kuwa susceptible kwa magonjwa. Virus haviwezi kuwa na athari bila mwili kuwa na ukimwi.Kudhani kuwa waliopata Corona walikuwa na upungufu wowote wa kinga ni kudhani kuwa walikuwa na ukimwi.
Yameuguwa majina mazito mazito kiasi kudhani hao walikuwa na cha ziada cha kufanya kuhusiana na afya zao kabla ya hatari bado pia itakuwa ni kuupiga chenga ukweli.
Elezea kutokuona umuhimu wa barakoa.Nimetafakari sana kuhusu hali halisi ninayoiona kitaani kuhusiana na mada tajwa hapo juu. Social distance ya mita 1 au zaidi ni usanii. Ukiingia kwenye daladala au kwenye masoko yetu hii kitu hakipo kabisa.
Sasa kwanini tunazungumzia kitu ambacho practically kwa watu was chini hakiwezekani. Suala LA Barakoa ndo usiseme, ni maigizo haswa. Kanuni inasema usiguse uso, pua wala macho.
Sasa najiuliza Mimi mwenyewe Mara ngapi najifuta jasho kwa kutumia leso yangu. Inajulikana kwamba ukishika hela mkononi unaweza ukapata Corona, sasa najiuliza je kila Mara ukishika hela lazima unawe? Mara ngapi? Mbona ni issue kwa wafanyabiashara na wanunuzi.
Kwa nionavyo, sioni mantiki ya kuvaa barakoa au social distance, naona ni upuuzi mwingine wa hali ya juu hasa ukizingatia barakoa inapunguza kiwango cha Oksijeni na hatimaye kusababisha stress inayopunguza kinga ya mwili.
Nawasilisha
Tanzania social distance haiwezekani
Wabongo wanapenda mambo ya nyomi nyomi
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
BONGO NYOSO BONGO BALAANawaza kama ww
Sent from my iPhone using JamiiForums