sioni umuhimu wa kuwa na sheria

sioni umuhimu wa kuwa na sheria

robart jacob

Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
11
Reaction score
1
je hii nchi kila mtu ana mamlaka ya kumfunga mtu..eti kwa sababu yeye ni mtu fulani..akikosolewa kidogo kutokana na pumba zake..anakutisha..ooh ntakutia ndani...hakuko na umuhimu wa kuwa na sheria...
 
Back
Top Bottom