Sioni umuhimu wa uwanja kwa yanga

Sioni umuhimu wa uwanja kwa yanga

Wakuu haya ni maoni yangu kiafrika sioni umuhimu wa Yanga kuwa na uwanja wake wakati Kuna viwanja vitatu kwa dar anavyoweza Kutumia bila shida badala yake nadhani hiyo pesa ingejenga sport center nzuri itakayokuwa na hostel nzuri za pre season hospital ndogo ya kuhudumia wachezaji na wafanyakazi wake viwanja vizuri mfano wa ule wa kidongo chakundu kwa ajili ya mazoezi na gym ya kisasa
Kama pesa itabaki basi waboreshe mishahara ya wachezaji ili kufikia lengo la kuwa club kubwa afrika

Tuendelee Kutumia uwanja wa Benjamin na Chamazi ikumbukwe pia Serikali inaelekea kujenga uwanja Arusha na Dodoma ambapo pia tunaweza kuvitumia pale kunapokuwa na dharula
Hakuna haja ya uwanja kwa sasa
Wewe una akili, ila kuna watu hawaelewagi matumiz mazuri ya pesa.

Wanakimbiliaga tu, "Mbona Real Madrid wana uwanja wao" hawajui sera za uwekezaji za Jiji la Madrid na Serikali ya Hispani kwenye viwanja zilikuwaje enzi hizo Real Madrid inaanzishwa.

Ila Marekani ni kawaida sana kwa timu zao za michezo mikubwa (American Football) hazimiliki viwanja bali miji yao huwa inapigana vikumbo kuwajengea viwanja vizuri kutokana na faida wanayopata.
 
Back
Top Bottom