Sioni umuhimu wa uwanja kwa yanga

Wewe una akili, ila kuna watu hawaelewagi matumiz mazuri ya pesa.

Wanakimbiliaga tu, "Mbona Real Madrid wana uwanja wao" hawajui sera za uwekezaji za Jiji la Madrid na Serikali ya Hispani kwenye viwanja zilikuwaje enzi hizo Real Madrid inaanzishwa.

Ila Marekani ni kawaida sana kwa timu zao za michezo mikubwa (American Football) hazimiliki viwanja bali miji yao huwa inapigana vikumbo kuwajengea viwanja vizuri kutokana na faida wanayopata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…