Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupompo wadau
Aiseehali mbaya tunaangaika kutafuta unafuu tunaotegea internet kufanya shughuli zetu wamejua sana kutukomoa hawa mitandao
Mtandao gani huo mkuu? Nataka nikusaidie kuwatukana.kuna mtandao nimejiunga saa6 message ikaja alfajiri ndio imekubali kifurushi na hela walikata saa6 usiku,wisi mtupu
Ingia menu *148*30# alafu unaingia internet*alafu bandika bandua alafu chagua kifurushi cha siku*alafu utaona kuna kifurushi cha 2500tsh gb 10.unaingia kwenye menu kwa namba ipi?
*148*30# kisha 2 kisha 1 endeleaaisee sijui hii hali itaendelea hadi lini?
wacha tu nimewasamehe bure maana ni mtandao wetu wa wazalendo hom kumenogaMtandao gani huo mkuu? Nataka nikusaidie kuwatukana.
ttcl wenyewe pamoja kwamba wana cha usiku gb4 kwa 1000 lakini speed yao ya kobe uwezi amini software ya gb 4 tangu usiku saa sita ndiyoi inamaliza kudownload sahivi imebidi niongezee bando kwa voda nimalizie kodownload.Naona airtel wamebinya kila kitu...na speed ya internet imekuwa chini mno.
Voda ile menu ya vifurushi vya chuo haipo tena...