dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,753
- 18,781
Kwa jinsi ninavyo ona nashawishika kabisa kabisa kuwa hakuna mtu au kikundi cha watu wenye uwezo wa kuzui uchaguzi mkuu
Haihitajiki kujiuliza mara mbili mbili ni was hakuna watu wa kufanya hvyo ni kama CHADEMA ameamua tu kutikisa kiberiti na huwenda ikawa ndio mwisho wa chama hiki na itakwenda kusambaratishwa mara baada ya uchaguz mkuu kukamilika
Leo wamejitokeza baadhi wa wanachmq wa CHADEMA walio kiuka agizo la mahakaama la kuto kwenda ktk mahakama hiyo, hvyo wafatilie kesi hyo kwa njia ya mtandao
Aisee watu wamepigwa siyo kawaida unajiuliza yuko wapi Heche, Lema, Mnyika, Boni Yai hao wote hawakwenda Mahakamani wameamua kutulia mahotelini kufatilia kesi online
Sas unajiuliza ikiwa tu watu amepigwa rungu waksepa je kweny uchaguz ni lipi wanaweza kufanya
Jaamn Napenda sana haki Ila kwa Tanzania hii ni vigumu kupata bila kupiganiaa watanzania tumelala San jmn