Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ni ile pombe pendwa ya bei cheePombe inayokusaidia uweze KUJISAIDIA ni aina gani??? Maana usijekuwa umejikondisheni hadi unywe PINGU ndiyo upate choo🙂
cheki na huyu super human anaejaza sink
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/421117-kunya-mavi-mengi-kupita-kiasi-huwa-najaza-sinki-inanitia-hofu.html
Gongo ni dawa ya mambo mengi sana, hata meno. Huwezi mkuta mlevi wa gongo anasumbuliwa na meno kupekechuliwa.
Acha basii huyo kaniumiza tumboi kwa kuchekaaaa