Sipati choo hadi ninywe pombe

Sipati choo hadi ninywe pombe

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Dr. Nimekaa wiki mbili bila kupa choo, hii isha nitokea zaidi ya mara nne, nikipiga ulabu tumbo linafungunga. Je hii hali ni ya kawaida? Pombe ina nini kinachonifanya nipate choo?
 
Pombe inayokusaidia uweze KUJISAIDIA ni aina gani??? Maana usijekuwa umejikondisheni hadi unywe PINGU ndiyo upate choo🙂
 
Bujibuji banaa yaan mi nashindwa nikuitejee
 
Gongo ni dawa ya mambo mengi sana, hata meno. Huwezi mkuta mlevi wa gongo anasumbuliwa na meno kupekechuliwa.
 
kitu cha "pingu" kikuburudishe
 
Back
Top Bottom