Sipati picha kama yangefanyika uwanja wa Taifa- Dar

Sipati picha kama yangefanyika uwanja wa Taifa- Dar

Nanoli

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
3,735
Reaction score
5,974
Hii tabia watani zangu inazidi kukua kila kukicha…
Matokeo ya kufungwa yanamstahili nani pekee? Ulienda uwanjani kucheza na mbao ukiwa na matokeo mfukoni?
Umepigwa goli kwenye lile tundu lililotobolewa na Kagera halafu unaanzisha vurugu, nn tatizo watani zangu !!!?
Tushukuru uwanja wa Kirumba siti zake ni za zege, laiti ingekua haya yamefanyika Dar, hakika leo viti vyote vingeokotwa chini. Sasa hiyo ni soka au nn…
Ni kama vile baadhi ya wanawake wakifikishwa patamu basi usishangae ukafinywa makucha na hata kofi utachapwa, ndivyo hivyo mlivyo tuwazowee mkifungwa? Hili ndilo kosa la kuishi na akili ya Manara, wote mmefanya Manara ni Mungu ktk soccer. Simba haijawa na kikosi kisichofungika bado, ni wa kawaida saana… acheni mapenzi ya kung'atana meno watani zangu, hii ni soka.
 
Inasikitisha na kuuma saaana
IMG-20180920-WA0020.jpeg
 
Taifa kuna camera..ukivunja kiti unatafutwa na polisi ukilipe na ukishindwa unaenda kunyea debe Segerea
 
chisi isi chimba in old english
this is simba in nowdays english
 
Back
Top Bottom