GE2025 Sipati picha maumivu CHADEMA wangepitia kama wangetia timu kwenye huu uchaguzi huu bila reforms

GE2025 Sipati picha maumivu CHADEMA wangepitia kama wangetia timu kwenye huu uchaguzi huu bila reforms

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mauaji na kupotezwa dhidi ya wanachama wafuasi na wapenzi wa CDM yangeongezeka mara dufu.
 
Hivi tu hawashiriki uchaguzi lakini viongozi wao wanatekwa inchi nzima. Nini Kingetokea wangeingiza timu bila reforms? Ingekua massacre
Wagombea wote wangekatwa isipokua wale Madalali wa siasa .
 
Nilicho jifunza ukitaka kupambana na mtu katili lazima nawe uweke roho katili(mfanyie anacho kufanyia).

Wakati nipo mdogo alikuwepo chizi mmoja akifukuza watu na mawe, alifika kwenye chochoro uso kwa uso na kijana mmoja. Alimrushia huyo kijana mawe nae huyu kijana kwa ujasiri nae alianza mrushia huyu chizi mawe. Jiwe moja lilimpata huyu chizi hapohapo alikimbia mbio na huyu kijana alieda na safari zake.

CCM bila ya kufanyiwa ukatili huu huu wanao wafanyia wananchi watazidi kuumiza watu. Lakini nao wakianza kilipiziwa kisasi wanajua kama sasa sio wakati wa kupiga tu ila ni Wakati wa piga nikupige umefika.
 
Back
Top Bottom