Nilicho jifunza ukitaka kupambana na mtu katili lazima nawe uweke roho katili(mfanyie anacho kufanyia).
Wakati nipo mdogo alikuwepo chizi mmoja akifukuza watu na mawe, alifika kwenye chochoro uso kwa uso na kijana mmoja. Alimrushia huyo kijana mawe nae huyu kijana kwa ujasiri nae alianza mrushia huyu chizi mawe. Jiwe moja lilimpata huyu chizi hapohapo alikimbia mbio na huyu kijana alieda na safari zake.
CCM bila ya kufanyiwa ukatili huu huu wanao wafanyia wananchi watazidi kuumiza watu. Lakini nao wakianza kilipiziwa kisasi wanajua kama sasa sio wakati wa kupiga tu ila ni Wakati wa piga nikupige umefika.