Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

Lol. Sio lazma umkubali kila anaeku approach😜 Nancy Sumari ni mzuri sana na anajielewa.

Naona umeamua kuongelea zaidi upande wa pili wa jinsia ya K....Uzuri ni tabia wala sio sura.
 
Nazi msumari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji1787][emoji16][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nancy alikuwa Demu wangu wakati Ule, asingeweza kuwa na Dogy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…