Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

Sawa. Nisamehe nilipokukwaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wengi wanataka wanaume ambao ni ready made, Nancy asingekubali kumfuata mb Dogg sababu bado alikuwa kwenye utafutaji
 
Alitumia akili na sio moyo
 
Ndio maana mnashauriwa tafuteni pesa sio mapenzi. Kwanza kila mtu utamu anao mwenyewe. Kama unabisha jaribu na sabuni uone.
 
Those day MB Dogg ametoa Latifa imenibamba vilivyo ilikuwa inaniburudisha dhidi ya machungu ya kutompata demu mmoja mkali sana pale sekondari ya Benjamin Mkapa Mitaa ya Uhuru kariakoo mtoto alikuwa anaitwa IRENE KIDUNDA sijui yuko wapi yule mtoto alikuwa white ,slim mwendo wa madaha ,very clean and Neath jamaani

Irene sijui yuko wapi nimemiss sana hahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Irene yupo CRDB Bank branch ya Mikocheni mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…