Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

I f^kin second u son, no wonder (they say) the bi:tch stole her sister's man only for her to marry him
And that big sister keeps dragging her lazy ass into this 'happily after' family's palace all day, everyday. Shamelessly.
 
Mwanamke mwenye akil haangalii alichonacho (tangible) mtu kwa muda huo
Bali anaangalia ana akil gan ya future
Possible nancy hakuliona hilo kwa mb dogy


Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mwanamke wa hvyo , ni upendo Tu unaweza mfanya mwanamke akawa na fikra za hvyo....mwanamke yupo designed to solve immediately problem linalomkabil bas, hata huyo nancy alienda Kwa bwana aliye naye kwa sababu jamaa alikuwa nazo na sio kwa sababu jamaa hakuwa nazo ila alikuwa na mikakati ya kuwa nazo
 
IMG_2804.jpg

Uzi bila picha haunogi


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kipindi msanii huyu ana-hit na ngoma zake zile Latifa na Mapenzi Kitu Gani alifunguka kwamba anampenda Nancy Sumari na anatamani awe hata mkewe wa ndoa.

Kwa namna jamaa alivyokuwa juu, si rahisi kwa mdada yeyote kuchomoa ofa ya kuwa naye. Warembo walimpapatikia sana na ofkoz alitawala wingu la Bongo Fleva. Historia inakumbuka.

Na enzi hizo Nancy ndio alitoka kunyakua ushindi wa Miss World Africa.

Jamaa akashindwa kujizuia. Kila akihojiwa akawa anasema wazi anamzimikia sana Nancy Sumari. Na ndoto zake zitatimia akifanikiwa kumnasa maana lengo lake halikuwa kumchezea bali kumuoa kabisa.

Kama haitoshi, Doggy Man akarekodi wimbo mahususi kwa ajili ya Nancy akafunguka ya moyoni. Ngoma ilihit sana kwa wanaoikumbuka. Iliitwa "Ina maana".

Sikumbuki kama Nancy alizungumzia chochote.

Leo nimemuona Nancy sehemu nikawaza laiti angemkubalia jamaa wawe couple wangekuwaje leo hii? Kama angemkubalia kwa sababu ya umaarufu, wangedumu kweli?

Shubaamita!




Sent using Jamii Forums mobile app
anything could happen. Chances are wangeweza ku uplift each to the better end
 
Wangekuwa na familia nzuri tu na maisha yangeendelea mfano hai marlow na besta
 
Basi jitahidi uonane na kale nanaitwa Vmoney daahh aibu,kuna huyo Linnah,Shilole,kuna mtangazaji anaitwa Salma Msangi yaani kama jini alivyojikondea,.Kwakweli umaarufu unawabeba tu.Ila mzee baba Jojo kwasasa kawa mtamu kimtindo tofaiti na miaka hiyo 5 uliyomuona.[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
Vee money n mzuri acha uwongo weeeeeh, lol
 
Siku moja Obama na mkewe walikwenda kwenye mgahawa kupata chakula, wakiwa hapo wanakula huku wanapiga stori. Mke wa Obama akamwambia mumewe, "mwenye mghawa huu alikuwa mchumba wangu" Obama akamjibu "kwa hiyo sasa wewe ungekuwa mke wa muuza mgahawa" Michelle akamjibu "hapana, ningekuwa mke wa rais"

Maana ake, kuna watu wamemiliki utajiri ambao zaidi ya 75% ya marifa yaliyo uleta yanatoka kwa wake zao.
 
Back
Top Bottom