Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

I f^kin second u son, no wonder (they say) the bi:tch stole her sister's man only for her to marry him
And that big sister keeps dragging her lazy ass into this 'happily after' family's palace all day, everyday. Shamelessly.
 
Mwanamke mwenye akil haangalii alichonacho (tangible) mtu kwa muda huo
Bali anaangalia ana akil gan ya future
Possible nancy hakuliona hilo kwa mb dogy


Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mwanamke wa hvyo , ni upendo Tu unaweza mfanya mwanamke akawa na fikra za hvyo....mwanamke yupo designed to solve immediately problem linalomkabil bas, hata huyo nancy alienda Kwa bwana aliye naye kwa sababu jamaa alikuwa nazo na sio kwa sababu jamaa hakuwa nazo ila alikuwa na mikakati ya kuwa nazo
 
anything could happen. Chances are wangeweza ku uplift each to the better end
 
Jamaa alikuwa so talented, sijui alifeli wapi yan
Wala hakuwa talented kihivyo. Msikilize hata leo. Sema kwa aina ya muziki aliokuwa anafanya ni kama ilikuwa ngeni na hakuwa na washindani kivile.
 
Wangekuwa na familia nzuri tu na maisha yangeendelea mfano hai marlow na besta
 
Vee money n mzuri acha uwongo weeeeeh, lol
 
Siku moja Obama na mkewe walikwenda kwenye mgahawa kupata chakula, wakiwa hapo wanakula huku wanapiga stori. Mke wa Obama akamwambia mumewe, "mwenye mghawa huu alikuwa mchumba wangu" Obama akamjibu "kwa hiyo sasa wewe ungekuwa mke wa muuza mgahawa" Michelle akamjibu "hapana, ningekuwa mke wa rais"

Maana ake, kuna watu wamemiliki utajiri ambao zaidi ya 75% ya marifa yaliyo uleta yanatoka kwa wake zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…