DuhSiku moja Obama na mkewe walikwenda kwenye mgahawa kupata chakula, wakiwa hapo wanakula huku wanapiga stori. Mke wa Obama akamwambia mumewe, "mwenye mghawa huu alikuwa mchumba wangu" Obama akamjibu "kwa hiyo sasa wewe ungekuwa mke wa muuza mgahawa" Michelle akamjibu "hapana, ningekuwa mke wa rais"
Maana ake, kuna watu wamemiliki utajiri ambao zaidi ya 75% ya marifa yaliyo uleta yanatoka kwa wake zao.
Hahahahaaaaaaaaa, hapa umempata maana hao jamaa hata akiwagoogle hapati results za kueleweka..ni wakongwe tu ndo tunawapata hao wakongwe kwenye tathnia ya bongo movie...😂.mkuu umenikumbusha mbali sana yani, hawa jamaa cjui walipotelea wapi aiseKama kweli we ni muhenga unamjua Sumbi na Bocha?
Sanaa, wadada wamekili sana humu JF kumpenda enzi zake, hata yeye kuna wimbo amesema hayo1. Inamana
2. Mapenzi kitu gani
3. Si ulinambia
4. Sagaplasha
5. Natamani
Huyu jamaa yuko wapi aseeh unafiki mbaya alikua anajua
Daaah maisha yanaenda kasi sanaaa.....kuna muda maisha sio fair; Madee alokua anaimbishwa chorus kwenye nyimbo za jamaa eti leo ana maisha mazuri kuliko Mb Dog?!!sanaa, wadada wamekili sana humu JF kumpenda enzi zake, hata yeye kuna wimbo amesema hayo
nikirudi kwenye swali lako, jamaa yupo bana hapo Dar ila anadai aliumwaga sana koo sababu alilogwa hivo basi akashindwa kuendelea na muziki kwa miaka mingi, ila sasa yupo powa
[emoji23]Povu la nini bab!?
Ndio maana nikaanza kwa kusema suala la uzuri is relative thing!depends on someone's angle of interest.
Basi tufaye dada zako ww na girlfrnd wako ndio wazur basi na hao niliowataja woote nao wazur basi ili ufurah
Madee aliimbishwa chorus???Daaah maisha yanaenda kasi sanaaa.....kuna muda maisha sio fair; Madee alokua anaimbishwa chorus kwenye nyimbo za jamaa eti leo ana maisha mazuri kuliko Mb Dog?!!
Aliimbishwa verse ya latifah "vipo kwa kushare sio mapenzi...wewe ndio wangu toka enzi aaah...sema basi chochote unachotaka "Madee aliimbishwa Chorus gani?
Daaah[emoji1]Jamaa tupo naye mitaa ya makuburi jirani na kanisa la roma tuna kula nae ugali kwa mchicha kwa mama ntilie, naamini na Nancy tungekuwa nae mitaa hii na wala usingemwona huko ulipo muona
HahahahUsizunguke mbuyu bro.
Itakuwa alimkataa sababu ya ufupi. Jamaa kafupi sana. KalijAribu kuboot height kwa Afro lakini wapi?.
Wanaume wafupi harakati zao kwa mademu huwa kama za pimbi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]alitaka kuwamiliki woteNa wewe boy friend wawili wote wa nini? Mmoja si umwachie mdogo wako!
Bwahahahahaha
Hahaha.. Ila kweli jamaa ni mfupi.halafu binti sumari ni mrefu..wanawake wanatuchukia sana sisi wanaume wafupiUsizunguke mbuyu bro.
Itakuwa alimkataa sababu ya ufupi. Jamaa kafupi sana. KalijAribu kuboot height kwa Afro lakini wapi?.
Wanaume wafupi harakati zao kwa mademu huwa kama za pimbi.
Hahhhaaa kweli kbs yan mwanaume mfupi atafute kigezo zaidi cha kumiliki mwanamkeHahaha.. Ila kweli jamaa ni mfupi.halafu binti sumari ni mrefu..wanawake wanatuchukia sana sisi wanaume wafupi
Bora Bi. Mkubwa hakujichanganya kwa msela. Angekua kachakaa balaa na Ngwengwe juuKipindi msanii huyu ana-hit na ngoma zake zile Latifa na Mapenzi Kitu Gani alifunguka kwamba anampenda Nancy Sumari na anatamani awe hata mkewe wa ndoa.
Kwa namna jamaa alivyokuwa juu, si rahisi kwa mdada yeyote kuchomoa ofa ya kuwa naye. Warembo walimpapatikia sana na ofkoz alitawala wingu la Bongo Fleva. Historia inakumbuka.
Na enzi hizo Nancy ndio alitoka kunyakua ushindi wa Miss World Africa.
Jamaa akashindwa kujizuia. Kila akihojiwa akawa anasema wazi anamzimikia sana Nancy Sumari. Na ndoto zake zitatimia akifanikiwa kumnasa maana lengo lake halikuwa kumchezea bali kumuoa kabisa.
Kama haitoshi, Doggy Man akarekodi wimbo mahususi kwa ajili ya Nancy akafunguka ya moyoni. Ngoma ilihit sana kwa wanaoikumbuka. Iliitwa "Ina maana".
Sikumbuki kama Nancy alizungumzia chochote.
Leo nimemuona Nancy sehemu nikawaza laiti angemkubalia jamaa wawe couple wangekuwaje leo hii? Kama angemkubalia kwa sababu ya umaarufu, wangedumu kweli?
Shubaamita!
Sent using Jamii Forums mobile app