Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

Okay. We are getting close..

Hate is a strong word. There must be a strong feeling behind it.

What is it?

And why did you bring Nakaaya (her sister) in the picture?

Sent using Jamii Forums mobile app

Bro

Hate is just a feeling like any other mzee,kama wewe unavyompenda mimi namchukia the other side!

Sijui kwanini watu wana phobia na neno HATE?As if mtu hurusiwi ku-hate!!

Naakaya ni sibling wake ndio maana I brought her up,I like her more...

So,fvck it,I hate fake motherfuckers like this sneaky bitch...

I hate that sleazy slot just for the fvck of it...

Dont get twisted,sina sijui some personal feelings or such and such smell towards the bitch
 
Hapo mwisho nimeelewa vizuri au?
 
Hahaa it's depends maybe Nancy kama angekuwa na Mb angemsaidia kum-push ili aweze kuwa na knowledge pana ambayo ingeweza kumsaidia Mb dog Katika masuala mazima ya Kukuza Uchumi wake ... na hatimae asingekuwa M dog huyo mnae shinda nae na kula nae mchicha ... bali angekuwa ni Mb dog mwenye pesa zake haswa

Sent using Jamii Forums mobile app
 


KUNA MAKUNDI YAFUATAYO MKUU HUTAKIWI KUYAAMINI UKIWA HAI.

1. WANASIASA-USIWAAMINI HATA KIDOGO MKUU WANAJALIMATUMBO YAO NA YAFAMILIA ZILIZO KARIBU NAO. MFANO = NASARI

2. WASANII-HAWA WAPO RADHI KUDHALILIKA ILIMRADI KUPATA UMAARUFU MFANO=AMABA RUTY, NAHAPA INCLUDE HII MADA YAKO. HUENDA HUYO NAZI MSUMARI ALIMLIPA PESA MB DOG ILIAMUIMBE ILI JINA LAKE LIWEJUU THE SAME TO YOU, HUENDA UMELIPWA KUTULETEA HII MADA YAKO HAPA.

3. DALALI-USIMUAMINI DALALI HATA ONE DAY.

4. MCHEPUKO
 

Duh. Mm sijawahi kumuona Live, namjua kwa picha tu na videos. Its true anajielewa mno ndomana heshima yake haishuki.
 
Duh. Mm sijawahi kumuona Live, namjua kwa picha tu na videos. Its true anajielewa mno ndomana heshima yake haishuki.
For sure min92 ..even by appearance she looks so decent.Anajitambua kwkwel
 
mkuu umekula like yangu si kwa ajili ya ujumbe hapana mie lugha ya malkia tu hata uki define history unakula like yangu japo ujumbe wako nao si haba
 
Kale kabinti manshallah sana...Mungu fundi sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…