Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

hahah. kweli dada angu hizi internet slang huwa ukikutana nayo mara ya kwanza lazma isumbue

nakumbuka kipindi cha "tbt" ndiyo imeingia mimi nilifikiri inamaanisha tabata sasa nikawa najiuliza tuseme tabata pamekuwa maarufu hivi hadi kila mtu anapost yupo tabata.... [emoji23][emoji23]

nilivyoona hadi watu wa mbele wanatumia ndio nikagoogle

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]nmecheka nusu kuzimia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke mwenye akil haangalii alichonacho (tangible) mtu kwa muda huo
Bali anaangalia ana akil gan ya future
Possible nancy hakuliona hilo kwa mb dogy


Sent using Jamii Forums mobile app


Usizunguke mbuyu bro.
Itakuwa alimkataa sababu ya ufupi. Jamaa kafupi sana. KalijAribu kuboot height kwa Afro lakini wapi?.

Wanaume wafupi harakati zao kwa mademu huwa kama za pimbi.
 
1552674920856.png

Nancy Sumari na mchumba wake Luca Neghesti
 
Okay. Why do you hate her?

There must be something ugly that she did and it did not please you.

Or you just hate her free of charge? Lol.

Sent using Jamii Forums mobile app

I'm not accountable to anybody!

And why you love her?

Something happened?Are you trying to be a prophet?I didnt know you are prophet!
 
Nimecheka mpaka machozi,asante Kwa Picha maana nilikua namuwaza Soggy Doggy!
Mdogo wangu enzi hizo mtoto sumari katoka Maasai Girls Nairobi. Kaka mkubwa akitokea mitaa ya manzese na mabibo kwa mapozi haya angefanikiwa kumng'oa kweli?
images(1).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
Ukizingatia hapo full kunuka mibange.
 
Nadhani ww kazia tu hapo kwenye kujielewa kwake hayo ya uzuri kila mmoja ana definition yake.
Nimekutana na Nancy kama miaka mwil ilopita pale NMB hq mpya karib na Srena hotel aisee, trust me kwanza hata sikuweza kumjua kama ni yeye.Uzuri nilokua namuona nao kwenye tv na ule urefu wake aisee ni tofauti kabisaa nilivyomuona.tofauti sanaa.Sio m baya actually lakin ni wa kawaida tu.Kawaida.

Lakin nakubal yule dada alikua anajielewa sana nadhan hata kind of company anayojichanganya nayo pia ni cream brains tofauti na hawa masapwala wengine akina wema.

Ukimuona wa kawaida kwa sababu yupo natural!

Siku hizi mdada kuwa mzuri mpaka awe kama Uwoya.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisaa mkuu.Umenikumbusha pia kama miaka 5 hiv nilikutanaga na Jokate pale IFM kiukwel nilichiweza ku notice ni kwamba huyu dada kama namfaham lakin sikuweza kujua exactly mpaka baada ya kuvuta sana kumbukumbu.Ila pia alikua wakaiwada sana hata kwa kumlinganisha na watoto wa pale chuo.Sio m aya lakin hawapo kama hiv wanavyokuzwa aua wanavyojikuza

Jokate wa kawaida?!!!!
Siyo mzuri!
Mnahadaika sana na mawigi na weupe wa vidonge!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha tungekutana 5N tunapiga nae gambe siku akizichanga ndio tunakutana element,trp7 next door na the like

mpuuzi mpuuzi tu
 
Tangu lini mdangaji anayejinasibu kwa wadhifa wa usomi akaliwa na chawa wa qs mhonda??
 
Mdogo wangu enzi hizo mtoto sumari katoka Maasai Girls Nairobi. Kaka mkubwa akitokea mitaa ya manzese na mabibo kwa mapozi haya angefanikiwa kumng'oa kweli?View attachment 1046445
Hahaha mbona wenzake kati ya wale pingu na deso,..deso alifanikiwa ku gtaduate IFM- Risk management? Ye alishindwa nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukizingatia hapo full kunuka mibange.
 
kar
Jamaa tupo naye mitaa ya makuburi jirani na kanisa la roma tuna kula nae ugali kwa mchicha kwa mama ntilie, naamini na Nancy tungekuwa nae mitaa hii na wala usingemwona huko ulipo muona
si ajiunge kanisa la freemason apo makuburi ambako kanisa lina walinzi na geti apo
 
Umekuja juu juu ukitaka Ku force kila MTU amuone jokate n mzuri,nimekuambia ,tuambie uzuri wake ..umeshindwa

From profile picture to proper future

Juu juu obvious umezoea kelele ndiyo maan hiyo imekuwa observation yako ya kwanza

Nilikua nauliza wala sijakuja juu kuu kama ulivyowaza wewe.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom