Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Umeshindwa kutuambia huo uzuri .wa jokate ....
From profile picture to proper future
Jokate wa kawaida.
Smile and enjoy the rest of your day
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshindwa kutuambia huo uzuri .wa jokate ....
From profile picture to proper future
Asante kwa uchambuzi wako....
Jokate wa kawaida?!!!!
Siyo mzuri!
Mnahadaika sana na mawigi na weupe wa vidonge!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wema nakusoma kote nje english inapanda ila kiukweli anakichwa fulani kinaitwa zero brain.Angekua wema,kashaliwaga kaachwa
Wawajue wapi dot ya khanga hao ni maneno tu wanajuaga.Hivi kizazi cha juzikati hapa,kinawajua hao watu uliowataja kweli..?
Mume aliyeko naye huyu nancy alikuwa ni mchumba wa dada yake alipokosa ramani ikabidi amseduce mchumba wadadae na ndiye aliyesababisha nakaaya kuhama nchi nakuolewa na mzungu.Okay. We are getting close..
Hate is a strong word. There must be a strong feeling behind it.
What is it?
And why did you bring Nakaaya (her sister) in the picture?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nkajua neno UKIMWI limechanganywa herufi hapo[emoji23][emoji23]mkuu hujaelewa wapi? hizo herufi za "IUKWIM" au kama ni hizo ni kifupi cha IF U KNOW WHAT I MEAN
dada angu na ww ni wapi pamekutatiza [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mwenyewe hadi leo sijawahi kujua "tbt" lina maana gani, nikikutana nalo najisemea tu kimoyomoyo mambo ya tabata hayo[emoji23][emoji23]hahah. kweli dada angu hizi internet slang huwa ukikutana nayo mara ya kwanza lazma isumbue
nakumbuka kipindi cha "tbt" ndiyo imeingia mimi nilifikiri inamaanisha tabata sasa nikawa najiuliza tuseme tabata pamekuwa maarufu hivi hadi kila mtu anapost yupo tabata.... [emoji23][emoji23]
nilivyoona hadi watu wa mbele wanatumia ndio nikagoogle
Sent using Jamii Forums mobile app
Mume aliyeko naye huyu nancy alikuwa ni mchumba wa dada yake alipokosa ramani ikabidi amseduce mchumba wadadae na ndiye aliyesababisha nakaaya kuhama nchi nakuolewa na mzungu.
Nancy has bad manner i hate her so much kama nini kwenye group lao nafuu faraja sio snitch na bitch kelyn kachukua mume wamtu mengi .
So they are worst people i hate them more than anyone else how could you betrayed your own blood?
How tell me?
How will you feel to live with your sister fianceee shame shame shame on you nancy where your shame on u.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahah... ni throw back tuesday or throw back thursdayMi mwenyewe hadi leo sijawahi kujua "tbt" lina maana gani, nikikutana nalo najisemea tu kimoyomoyo mambo ya tabata hayo[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu, hahahaaaaahahahah... ni throw back tuesday or throw back thursday
Kipindi msanii huyu ana-hit na ngoma zake zile Latifa na Mapenzi Kitu Gani alifunguka kwamba anampenda Nancy Sumari na anatamani awe hata mkewe wa ndoa.
Kwa namna jamaa alivyokuwa juu, si rahisi kwa mdada yeyote kuchomoa ofa ya kuwa naye. Warembo walimpapatikia sana na ofkoz alitawala wingu la Bongo Fleva. Historia inakumbuka.
Na enzi hizo Nancy ndio alitoka kunyakua ushindi wa Miss World Africa.
Jamaa akashindwa kujizuia. Kila akihojiwa akawa anasema wazi anamzimikia sana Nancy Sumari. Na ndoto zake zitatimia akifanikiwa kumnasa maana lengo lake halikuwa kumchezea bali kumuoa kabisa.
Kama haitoshi, Doggy Man akarekodi wimbo mahususi kwa ajili ya Nancy akafunguka ya moyoni. Ngoma ilihit sana kwa wanaoikumbuka. Iliitwa "Ina maana".
Sikumbuki kama Nancy alizungumzia chochote.
Leo nimemuona Nancy sehemu nikawaza laiti angemkubalia jamaa wawe couple wangekuwaje leo hii? Kama angemkubalia kwa sababu ya umaarufu, wangedumu kweli?
Shubaamita!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wana koment labda kutafuta kuonekana ni disminders.
Jokate first time kumwona ilikuwa 2007 mwanzoni, kuna event Mengi na Shigongo walikuwa wana motivation talks ya AISEC UDSM, na yeye ndiye alikuwa MC.
Sikuwa namfahamu, nikauliza hiyo ni nani, nikaambiwa alikuwa namba 2/3 mashindano ya Umiss. Nilishangaa kwa nini hakushinda yeye. She was naturally beautiful and real to me.
Huwa siyo mshabiki wa rangi nyeupe lakini Jokate nilim-rate high.
Okay. We are getting close..
Hate is a strong word. There must be a strong feeling behind it.
What is it?
And why did you bring Nakaaya (her sister) in the picture?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasreen Mara kwa Mara anasafiri ila wote ni marafiki!!Hawa watatu ndio nawaona karibu zaidi kwenye matukio mengi.View attachment 1046248
Sent using Jamii Forums mobile app
Sophia mzuri hata ana kwa ana
Faraja siku hizi ndo kawa mzuri alivyokuwa anapata umiss alikuwa tofauti sana
Sent using Jamii Forums mobile app