Sipati Picha Siku Wana JF Tutakapokutana Peponi!!!!

Sipati Picha Siku Wana JF Tutakapokutana Peponi!!!!

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Najua sehemu pekee ambayo hakuna ufisadi wala woga ni peponi/Mbinguni, natamani sana kuiona siku hii ambayo hakuna mwana JF atakaeogopa kujianika yeye ni nani na alikuwa nani jamvini....................itakuwa ni FURAHA YA AJABU...........HOI HOI NA VIFIJO VITASIKIKA.........KUONANA NA WAPENDWA KWA SURA NA MAJINA YAO HALISI eg MALARIA SUGU, MWALI, BAK, KINGASTI, NDAHANI, INVISIBLE, ST IVUGA, MBU, AMAVUBI, REGIA MTEMA, Pasco,Raia Mbishi, Kadamfu, Mtulumbi, Honolulu, Mbngifingi, kadamfu, todo, Gezaulole, nderingosha, candid scope, ALL MODERATORS (NA WENGINEO WENGI-Usikonde kama sijakutaja)...........ITAKUWA NI KUSHANGAAAANA TU!!!!


Mwana JF jitahidi uingie kwenye pepo.................tukashangaane..............

Je wewe utashangaa utakapomgundua NANI?????...........na kwa nini????

 
Yaani badala ya kushangaa uzuri wa peponi tubaki tunashangaana wana jf? Labda addict #1 FaizaFoxy,lol!
 
nani alikudanganya kuna place inaitwa peponi na wafu hukutana huko? forget ukifa ushakufa - end of story!! na wengine wanazaliwa -- its a circle. tunaishi duniani kwa zamu. ndiyo maana wakati said said akiwanunua babu zetu bagamoyo 1800 kweusi wewe hukuwepo duniani -- yeye kaondoka na wewe umekuja -- ni mzunguko tu as simple as that.

kama unataka mkutano itisha hapa Diamond Jubilee -- lakini huo wa kwapo wa peponi kamwe hautakaa uuone ukifanyika.
 
nani alikudanganya kuna place inaitwa peponi na wafu hukutana huko? forget ukifa ushakufa - end of story!! na wengine wanazaliwa -- its a circle. tunaishi duniani kwa zamu. ndiyo maana wakati said said akiwanunua babu zetu bagamoyo 1800 kweusi wewe hukuwepo duniani -- yeye kaondoka na wewe umekuja -- ni mzunguko tu as simple as that.

kama unataka mkutano itisha hapa Diamond Jubilee -- lakini huo wa kwapo wa peponi kamwe hautakaa uuone ukifanyika.
Inategemea unasimamia school gani of thoughts, hoja ya msingi ni kutambuana kwa ubayana ninaogopa Diamond hatutatambuana
 
nani alikudanganya kuna place inaitwa peponi na wafu hukutana huko? forget ukifa ushakufa - end of story!! na wengine wanazaliwa -- its a circle. tunaishi duniani kwa zamu. ndiyo maana wakati said said akiwanunua babu zetu bagamoyo 1800 kweusi wewe hukuwepo duniani -- yeye kaondoka na wewe umekuja -- ni mzunguko tu as simple as that.kama unataka mkutano itisha hapa Diamond Jubilee -- lakini huo wa kwapo wa peponi kamwe hautakaa uuone ukifanyika.
mtazamo bapa...
 
Amavubi it is all about the people you meet. Waweza andaa kitu really interesting na watu wakaja thou kweli kabisa ID hazitaibuliwa... BTW kuna watu mame/wana meet via shughuli aloandaa Mkuu Mtsimbe in courtesy of the Late Regia. (May she Rest in Peace)

If you don't mind please badilisha rangi ya font.
 
Kama unataka kukutana na Member yeyote humu ongea nae kupitia PM mbona humu mimi nimeshakutana na Members kibao....
 
Mbona unataka kutuwahisha aisee! R.I.P. Regia
 
Nitashangaa !
Nitahuzunika !
Nitatindikiwa !
Nitalia attached
kusagameno! Nitakapokukuta wewe Amavubi instead of PEPONI as your drimz ,
Nikakukuta
MOTONI !
 
hii habari ya kutabiriana vifo si nzuri hata kidogo. ina maana hatuwezi kuonana mpaka tufe? bora hata hujanitaja kwenye list yako ya mtakao kutana baada ya kufa. Nina wasiwasi unaweza hata ukajilipua mbele ya kusanyiko la wanajamii forum ili ukafaidike nao peponi
 
Ha ha ha yaani wewe kiboko hutaki kukutana tukiwa wazima unataka mpaka tufe???

BTW: Kama hutajali hiyo rangi ungeibadili
 
Hivi mie ni mwoga wa kifo??Huwa sitaki hata kukitania.If you ever lost someone you truly loved hutakitania kifo, japo tunaamini kuna maisha baada ya hapa.
 
Back
Top Bottom