Mex
naomba ultimate security wawe na bastola zao kabisa na tuhakikishe tunaPita kwenye screening machine akuna atakaeiingia na silaha maana kuna wengine wana hamu kujua hee ndio huyu mshenzi anaetutukana kumbe yanaishia jamvini jioni tunakunywa wote rosegarden bia kujuana hiyo ndio jf
wito
mnapoingia jamvini mjue mnaingia zaidi nya kandhahari ,,yaani kila mtu anakuwa na silaha yake mnakwenda kujilipua liwalo na liwe lakini mkifika afghansatn mnakaa chini kupanga amani ya nchi yenu hayo ndio maisha ya jf kwa wewe unaeingia so usishangae kuona watu wamekulipua na kujilupua siku ya siku
teeehhh teeehhh hivi akutwakuwa na shampagne nimfungulie ms mahsusi
i like him.her
teeehh teeehhhh naomba niagize matarumbeta kama wataruhusu