Naona wachina wamekuja juu katika kila kitu.... Pitia bana, kuna list ya watu expecting to be there... If you can make it, it will be good for you.
nimeiona hiyo thread, nadhani sitaweza ijumaa mida ya saa 1 jioni nitakua natoa report mahali fulani, anyway siku yoyote tunaweza onana,
inanishangaza sana,hizo habari ulizo andika hapa ni za kwenda kuzika,sijui kwanini umeandika hivyo,umesoma mpaka darasa la ngapi? unamiaka mingapi?
mimi ni bingwa sana ktk kale ka mchezo kakujificha almaarufu kombolela.hivyo basi nikifika huko nitajitahidi kukatumia ili jf members wasitambue kuwa mimi ndo yule kadoda11 wa duniani:lol:.Najua sehemu pekee ambayo hakuna ufisadi wala woga ni peponi/Mbinguni, natamani sana kuiona siku hii ambayo hakuna mwana JF atakaeogopa kujianika yeye ni nani na alikuwa nani jamvini....................itakuwa ni FURAHA YA AJABU...........HOI HOI NA VIFIJO VITASIKIKA.........KUONANA NA WAPENDWA KWA SURA NA MAJINA YAO HALISI eg MALARIA SUGU, MWALI, BAK, KINGASTI, NDAHANI, INVISIBLE, ST IVUGA, MBU, AMAVUBI, REGIA MTEMA, Pasco,Raia Mbishi, Kadamfu, Mtulumbi, Honolulu, Mbngifingi, kadamfu, todo, Gezaulole, nderingosha, candid scope, ALL MODERATORS (NA WENGINEO WENGI-Usikonde kama sijakutaja)...........ITAKUWA NI KUSHANGAAAANA TU!!!!
Mwana JF jitahidi uingie kwenye pepo.................tukashangaane..............
Je wewe utashangaa utakapomgundua NANI?????...........na kwa nini????
Hebu tufikirie Future ya JF kwa mtazamo chanya zaidi. Tunataka kufika wapi zaidi ya hapa tulipo. Wakati tukitafakari hilo najiuliza swali kwa wale tusiofahamiana inakuaje pale unapo chat mwanamme na mwanamke msiejuana lakini kumbe ndio mwenza wakeo wa nyumbani !!!!!!!!!!!!!!!
Naona wachina wamekuja juu katika kila kitu.... Pitia bana, kuna list ya watu expecting to be there... If you can make it, it will be good for you.
Dena was among very serious JF kwenye kukata issues,Ha ha ha yaani wewe kiboko hutaki kukutana tukiwa wazima unataka mpaka tufe???
BTW: Kama hutajali hiyo rangi ungeibadili
Mimi nilitaka ku quote comment yake hiyo umeniwahi imebidi nikunukuu weye jf imeondokewa na Mdau mahiriDena was among very serious JF kwenye kukata issues,
Hii ni tribute kwake, RIP Dena Amsi.
Paskali