Sipati picha

Sipati picha

malisak

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2006
Posts
694
Reaction score
775
Leo nimepada kwenye daladala nikawa nimekaa siti ya nyuma kabisa ile ya watu watano (5),kuna wadada watatu wakawa wanasimuliana inavyoonekana yule mmoja ndiyo yaliyomkuta.alikua anasema alikutana na mume wa mtu gest baada ya kukubaliana kumbe yule mwanaume ana kawaida kukakamaa baada ya kufika kileleni,asimkakamalie dada wa watu nini kifuani bibie akajua keshaua hapo akatoka nduki anatorokea kwao songea kwani nilipokutana nao wenzake ndio wanamsindikiza ubungo ili akwepe soo,mbaya zaidi inavyooelekea wanaishi jirani na huyo bwana mwenyewe sasa sijui kahofia pengine mkewe atagundua kua alikua naye au vipi.hivi ninyi wanaume kuna wenye hali hiyo?,na wanakuaje au wanajisikiaje ikitokea maana sipati picha kabisa, na kwa wale wataalam huo ni ugonjwa au ni matokeo ya raha kumoyo?.
 
...kumbe yule mwanaume ana kawaida kukakamaa baada ya kufika kileleni, asimkakamalie dada wa watu nini kifuani bibie akajua keshaua hapo akatoka nduki anatorokea kwao songea kwani nilipokutana nao wenzake ndio wanamsindikiza ubungo ili akwepe soo, mbaya zaidi inavyooelekea wanaishi jirani na huyo bwana mwenyewe sasa sijui kahofia pengine mkewe atagundua kua alikua naye au vipi....
:confused2:...:noidea:
 
Kandambili zitakukatikia njiani wakati wa kusafirisha umbea
 
Sipati icha
Badili hii heading, japo ionekana unaweza ku-sync speed ya kuongea na ku-type

Leo nimepada kwenye daladala nikawa nimekaa siti ya nyuma kabisa ile ya watu watano (5),

Hii Daladala yenye siti ya watu watano ni Tegeta - Mbagala?

bibie akajua keshaua hapo akatoka nduki anatorokea kwao songea kwani nilipokutana nao wenzake ndio wanamsindikiza ubungo

Present-Continous-Tense (Umbea sio mzuri)!
 
hiyo kitu iko, lakini inachukua muda mfupi tu, between 5 minutes - 15 minutes
 
Badili hii heading, japo ionekana unaweza ku-sync speed ya kuongea na ku-type



Hii Daladala yenye siti ya watu watano ni Tegeta - Mbagala?







Present-Continous-Tense (Umbea sio mzuri)!

majungu si mtaji na mtaji wa mbumbu ni fikra zake mwenyewe kwani kuuliza ujinga?,labda daladala ya zanzibar.
 
Aliyeua aweza jitangaza kwenye daladala? Huu ni umbea, tena wa kutunga!
Acha umbeeeeeeeeeeeeeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Lakini hiyo kali. Unajua mtu ana mke, bado analamba wasichana tena majirani. hawa kina dada yatawakuta mengi
 
Kwa hiuyo huyo dada alipata habari kama huyo jamaa alendelea kukamaa au baadae alikuwa fresh? Ziko incidence za watu kufia vifuani kwa wanawake, sijui pressure inapanda?
 
Aliyeua aweza jitangaza kwenye daladala? Huu ni umbea, tena wa kutunga!
Acha umbeeeeeeeeeeeeeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
sasa apo umbea umekujaje dick?
malisaki ameuliza...wataalam huo ni ugonjwa au ni matokeo ya raha kumoyo?. ...apo akuna umbea wowote kaka dick unles aujamwelewa ameuliza nini
-kuna vyanzo mbalimbali vya habari na elimu vingine overt vngine coverty sasa uyu kapata kwa njia ya waaaaazi kabisa sasa tatizo hajuio na ndyo maaana akauliza hii ikitu inakuwaje jaman wataal;amu??????///sasa wew kumwwambi ...acha umbeaaaaaaaaaaaaaa ....inahuuu??????mmh babu apo umeboronga wala haiu ata kiduchu tena uyu anaonekana ana busara ndo mana kauliza kwa sababu hajuio na hakujifanhya anajua wakat hajui sasa wewe ungekuwa wa busara zaid kmk ungemjuibu kwa kumwelimisha na si kumsuta as u did.......!!!!!!!1
unapenda sana kusuta eenhhh?????du hatari kweli kweli!!!!!!!

advice:
-apeal to person uache
-apeal to subject is needful
-..........ongeza wewe mwenyewe
KWAHERI DICK!!!!!:yawn:
 
Back
Top Bottom