malisak
JF-Expert Member
- Mar 16, 2006
- 694
- 775
Leo nimepada kwenye daladala nikawa nimekaa siti ya nyuma kabisa ile ya watu watano (5),kuna wadada watatu wakawa wanasimuliana inavyoonekana yule mmoja ndiyo yaliyomkuta.alikua anasema alikutana na mume wa mtu gest baada ya kukubaliana kumbe yule mwanaume ana kawaida kukakamaa baada ya kufika kileleni,asimkakamalie dada wa watu nini kifuani bibie akajua keshaua hapo akatoka nduki anatorokea kwao songea kwani nilipokutana nao wenzake ndio wanamsindikiza ubungo ili akwepe soo,mbaya zaidi inavyooelekea wanaishi jirani na huyo bwana mwenyewe sasa sijui kahofia pengine mkewe atagundua kua alikua naye au vipi.hivi ninyi wanaume kuna wenye hali hiyo?,na wanakuaje au wanajisikiaje ikitokea maana sipati picha kabisa, na kwa wale wataalam huo ni ugonjwa au ni matokeo ya raha kumoyo?.