Sipati Ujauzito!!!!!

Sipati Ujauzito!!!!!

Mfichua siri

Senior Member
Joined
Jun 19, 2012
Posts
135
Reaction score
62
Wadau mwenzenu nimeolewa mwaka 2009 Mwaka 2010 nilijaaliwa kupata mtoto wa kike kwa Operation, Nilishauriwa na Daktari nisizae tena mpaka mtoto atimize miaka walau mitatu ili mshono upone kabisa, mwanzoni mwa mwaka huu kwa kuzingatia masharti ya Daktari nikaanza kusakama mtoto wa pili na wa mwisho, tena nikitumia Karenda ya uzazi nikajikita kutafuta mtoto wa kiume kwa kuonana na mme wangu siku ya 13 na kuendelea toke nipatapo Hedhi lakini haijawahi kujibu.

Nikaona niachane na masuala ya kutafuta mtoto kwa kuchagua jinsia, basi tukaanza kukutana na mme wangu kuanzia siku ya 8 mpaka siku ya 15 toka nipate hedhi lakini hakuna kitu, Mzunguko wa siku zangu ni siku28, mwezi wa nne nilimuona Daktari akanipima na kukuta chuchu zangu zilikuwa bado zinatoa maziwa kwa mbaali hivyo niliambiwa vichocheo vyangu vya mwili ndo vinasababisha nisipate uja uzito ameshanipatia dawa mara kadhaa kwa ajiri ya ku-control vichocheo na maziwa hayatoki tena lakini bado sibebi uja uzito. Ikumbukwe sijawahi kutumia dawa za kuzuia Mimba nilikuwa natumia karenda tu.

Kinachonitisha ni suala la Umri kwasababu nimezaliwa Mwaka 1977. Nina umri wa miaka 36 nimechelewa sana kuanza uzazi kwasababu sikutaka kuzaa kabla ya kuolewa na nilichelewa sana kuolewa kwasababu waoaji walikuwa hadimu japo uwezo wa kujikimu niliupata mapema kidogo, sasa nina frustration zinazidi kila kukicha, nimejaribu kumuomba mme wangu naye akapime labda ndo tatizo lakini anagoma, je yawezekana nimezeeka au? najuuta kuchelewa kuzaa, naombani mnishauri kama kweli at this age and above ninaweza kubahatika mtoto maana mpango wangu ni watoto wawili.
 
Utapata tuu , inawezekana stress na presha kubwa ya kutaka mtoto ndio vinakufanya ushinde kupata mimba, kama mliweza kuzaa mtoto wa kwanza na mwanaume huyo huyo sidhani kama kunatatizo kati yenu, hivyo wewe relax na kuwa mtulivu tuu na pia kumbuka mtoto ni zawadi toka kwa mungu, mshirikishe mungu na umuombe asaidie katika hilo hitaji la moyo wako.
 
usifanye ngono kwa kutafuta mtoto piga gemu la starehe itajipa yenyewe ukianza kutafuta ndio kukosa kwenyewe
 
Dada, ukipania sanaaa kutafuta mtoto huwa hawapati, ila ukipotezea na ukawa unaishi maisha ya lolote na liwe, nipate sawa nisipopata sawa na kukutana na mmeo hizo siku, utakuja kujistukia umepata mimba tayari ina mwezi tayari bila hata wewe kujua wala kupanga. watoto ni zawadi toka kwa Mungu na Mungu ndiye anayetoa watoto. wakati mwingine Mungu anaweza akaamua asimpe mtu mtoto kama akiona kutakuwa na tatizo. mfano; kama ameona ukipata ujauzito utakufa, anaweza akaamua asikupe kabisa ubaki na huyohuyo, lakini hata hivyo, yeye ndiye muumbaji wako anaweza hata kama una matatizo akakuponya na akafanya usipate tatizo hata kama ungepata tatizo, yeye ni Mungu, cha muhimu ni kwamba je? UNATAFUTA WATOTO UKIJIAMINI KWAMBA WEWE UNAO UWEZO WA KUPATA WATOTO AU MOYONI MWAKO UNAAMINI KUWA BILA MUNGU HAUWEZI, NA KWAMBA MUNGU NDIYE ANAYETOA WATOTO? je? unaamini kuwa ukikutana tu kimwili lazima utapata watoto hivyo so you don't need to concentrate so much about God kwasababu hili ni jambo la kibaolojia? you never know, pengine Mungu anatafuta sababu wewe ustuke ili umgeukie kwasababu ameona kuja jambo fulani mbele yako.

kupata watoto ni baraka kubwa sana, lakini si watoto wote ni wa baraka. kwa wale watoto wa baraka shetani huwa anazuia sana na ukiwa na ujauzito huwa analeta vita sana, utateseka sana katika mimba kama mtoto utakayemzaa atakuwa mtoto wa baraka kwasababu shetani anakuwa ameona nyota yake. je? watoto wa baraka wanapatikanaje? watoto wa baraka wanapatikana kama mtu amempokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake hivyo kile kinachozaliwa kwake kinazaliwa katika utakatifu na kinabeba baraka za Mungu toka kwenye mbegu ya baba na mbegu ya mama pia. mtoto wa mcha mungu ni tofauti na mtoto wa jambazi,...

kwa wale watu wazima sana, wanaweza kukuambia kuwa, katika watoto wao wote, wale waliopata shida sana katika uzazi ndio waliofanikiwa sana. wale waliokuwa mteremko ndoo hao shuleni wa mwisho na ndio hao wanaotafuta hata kuwaua wazazi wao...

ninachotaka kukuambia ninini? kaa chini, piga goti mbele za Mungu mwambie Mungu naomba unipatie mtoto kwasababu wewe ndiye unayetoa watoto hata kama sisi kibaolojia ndio tunakutana, pengine Mungu amekuonea huruma kuwa unataka kupata mtoto ambaye yeye hakutaka apatikane katika mazingira hayo hivyo amekupa nafasi ili uandae mazingira yatakayokufanya umpate mtoto wa baraka. ukiyafuata haya ninayokuambia utakuja kunitafuta siku moja na kunieleza mema yaliyokupata. ushauri ni wa bure. Mungu akubariki.
 
36 bado uzazi upo mwisho ni 45,piga mechi za kutosha utapa mtoto tu,unavyosema labda mmeo ana tatizo kwan hyo wa mwanzo co wake?
=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
Mtoto wa kwanza ni wake lakini yeye ni binaadam anaweza patawa na matatizo
 
Utapata tuu , inawezekana stress na presha kubwa ya kutaka mtoto ndio vinakufanya ushinde kupata mimba, kama mliweza kuzaa mtoto wa kwanza na mwanaume huyo huyo sidhani kama kunatatizo kati yenu, hivyo wewe relax na kuwa mtulivu tuu na pia kumbuka mtoto ni zawadi toka kwa mungu, mshirikishe mungu na umuombe asaidie katika hilo hitaji la moyo wako.

Thanks ndugu yangu
 
usifanye ngono kwa kutafuta mtoto piga gemu la starehe itajipa yenyewe ukianza kutafuta ndio kukosa kwenyewe

Ndo style tuliyoanza kwasasa, ila umri unazidi kunipiga mkono nilitamani sana nilee wanangu nikiwa bado nina nguvu kwakweli
 
Dada, ukipania sanaaa kutafuta mtoto huwa hawapati, ila ukipotezea na ukawa unaishi maisha ya lolote na liwe, nipate sawa nisipopata sawa na kukutana na mmeo hizo siku, utakuja kujistukia umepata mimba tayari ina mwezi tayari bila hata wewe kujua wala kupanga. watoto ni zawadi toka kwa Mungu na Mungu ndiye anayetoa watoto. wakati mwingine Mungu anaweza akaamua asimpe mtu mtoto kama akiona kutakuwa na tatizo. mfano; kama ameona ukipata ujauzito utakufa, anaweza akaamua asikupe kabisa ubaki na huyohuyo, lakini hata hivyo, yeye ndiye muumbaji wako anaweza hata kama una matatizo akakuponya na akafanya usipate tatizo hata kama ungepata tatizo, yeye ni Mungu, cha muhimu ni kwamba je? UNATAFUTA WATOTO UKIJIAMINI KWAMBA WEWE UNAO UWEZO WA KUPATA WATOTO AU MOYONI MWAKO UNAAMINI KUWA BILA MUNGU HAUWEZI, NA KWAMBA MUNGU NDIYE ANAYETOA WATOTO? je? unaamini kuwa ukikutana tu kimwili lazima utapata watoto hivyo so you don't need to concentrate so much about God kwasababu hili ni jambo la kibaolojia? you never know, pengine Mungu anatafuta sababu wewe ustuke ili umgeukie kwasababu ameona kuja jambo fulani mbele yako.

kupata watoto ni baraka kubwa sana, lakini si watoto wote ni wa baraka. kwa wale watoto wa baraka shetani huwa anazuia sana na ukiwa na ujauzito huwa analeta vita sana, utateseka sana katika mimba kama mtoto utakayemzaa atakuwa mtoto wa baraka kwasababu shetani anakuwa ameona nyota yake. je? watoto wa baraka wanapatikanaje? watoto wa baraka wanapatikana kama mtu amempokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake hivyo kile kinachozaliwa kwake kinazaliwa katika utakatifu na kinabeba baraka za Mungu toka kwenye mbegu ya baba na mbegu ya mama pia. mtoto wa mcha mungu ni tofauti na mtoto wa jambazi,...

kwa wale watu wazima sana, wanaweza kukuambia kuwa, katika watoto wao wote, wale waliopata shida sana katika uzazi ndio waliofanikiwa sana. wale waliokuwa mteremko ndoo hao shuleni wa mwisho na ndio hao wanaotafuta hata kuwaua wazazi wao...

ninachotaka kukuambia ninini? kaa chini, piga goti mbele za Mungu mwambie Mungu naomba unipatie mtoto kwasababu wewe ndiye unayetoa watoto hata kama sisi kibaolojia ndio tunakutana, pengine Mungu amekuonea huruma kuwa unataka kupata mtoto ambaye yeye hakutaka apatikane katika mazingira hayo hivyo amekupa nafasi ili uandae mazingira yatakayokufanya umpate mtoto wa baraka. ukiyafuata haya ninayokuambia utakuja kunitafuta siku moja na kunieleza mema yaliyokupata. ushauri ni wa bure. Mungu akubariki.

Naomba nisikujibu Umenishika pabaya!!!
 
Mtoto wa kwanza ni wake lakini yeye ni binaadam anaweza patawa na matatizo

Ok utapata vuta subira

=====================================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================================
 
Pole sana. Msiweke sana pressure kwenye kupata ujauzito furahieni kuwa pamoja faragha kwa raha zenu na ujauzito unaweza kutokea bila nyie kutegemea. Mshukuruni sana Muumba wetu kwani angalau mmejaliwa kabinti. Kila la heri kwenye lile mlitakalo.

Last edited by a moderator:
huu ni mtihani kweli! Mwenyezi Mungu ni mwema utapata my dear..mimi pia niko kwenye mtihani huohuo ni mwaka wa 5 sasa sijajaaliwa mtoto, ila ninamshukuru Allah kwa kutujaalia AMANI na UPENDO katika ndoa yetu. Ila kiukweli ninahitaji kubwa sana la kupata mtoto ili nami niitwe 'mama'...tuombeane kheri tu.
 
mmmh job true true wengine wanatafuta mmoja na wengine wanatafuta zaidi.... ni Mtazamo tu...

Unaweza mcheki kapuya kwa Ushauri zaidi
 
Dada, ukipania sanaaa kutafuta mtoto huwa hawapati, ila ukipotezea na ukawa unaishi maisha ya lolote na liwe, nipate sawa nisipopata sawa na kukutana na mmeo hizo siku, utakuja kujistukia umepata mimba tayari ina mwezi tayari bila hata wewe kujua wala kupanga. watoto ni zawadi toka kwa Mungu na Mungu ndiye anayetoa watoto. wakati mwingine Mungu anaweza akaamua asimpe mtu mtoto kama akiona kutakuwa na tatizo. mfano; kama ameona ukipata ujauzito utakufa, anaweza akaamua asikupe kabisa ubaki na huyohuyo, lakini hata hivyo, yeye ndiye muumbaji wako anaweza hata kama una matatizo akakuponya na akafanya usipate tatizo hata kama ungepata tatizo, yeye ni Mungu, cha muhimu ni kwamba je? UNATAFUTA WATOTO UKIJIAMINI KWAMBA WEWE UNAO UWEZO WA KUPATA WATOTO AU MOYONI MWAKO UNAAMINI KUWA BILA MUNGU HAUWEZI, NA KWAMBA MUNGU NDIYE ANAYETOA WATOTO? je? unaamini kuwa ukikutana tu kimwili lazima utapata watoto hivyo so you don't need to concentrate so much about God kwasababu hili ni jambo la kibaolojia? you never know, pengine Mungu anatafuta sababu wewe ustuke ili umgeukie kwasababu ameona kuja jambo fulani mbele yako.

kupata watoto ni baraka kubwa sana, lakini si watoto wote ni wa baraka. kwa wale watoto wa baraka shetani huwa anazuia sana na ukiwa na ujauzito huwa analeta vita sana, utateseka sana katika mimba kama mtoto utakayemzaa atakuwa mtoto wa baraka kwasababu shetani anakuwa ameona nyota yake. je? watoto wa baraka wanapatikanaje? watoto wa baraka wanapatikana kama mtu amempokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake hivyo kile kinachozaliwa kwake kinazaliwa katika utakatifu na kinabeba baraka za Mungu toka kwenye mbegu ya baba na mbegu ya mama pia. mtoto wa mcha mungu ni tofauti na mtoto wa jambazi,...

kwa wale watu wazima sana, wanaweza kukuambia kuwa, katika watoto wao wote, wale waliopata shida sana katika uzazi ndio waliofanikiwa sana. wale waliokuwa mteremko ndoo hao shuleni wa mwisho na ndio hao wanaotafuta hata kuwaua wazazi wao...

ninachotaka kukuambia ninini? kaa chini, piga goti mbele za Mungu mwambie Mungu naomba unipatie mtoto kwasababu wewe ndiye unayetoa watoto hata kama sisi kibaolojia ndio tunakutana, pengine Mungu amekuonea huruma kuwa unataka kupata mtoto ambaye yeye hakutaka apatikane katika mazingira hayo hivyo amekupa nafasi ili uandae mazingira yatakayokufanya umpate mtoto wa baraka. ukiyafuata haya ninayokuambia utakuja kunitafuta siku moja na kunieleza mema yaliyokupata. ushauri ni wa bure. Mungu akubariki.

Yaani kaka umenipa somo zito sana kwa kweli...Mungu akubariki na zidi kunikumbuka maombi nina ujauzito wa miezi nane now but nimekuwa nikipitia majaribu mazito sana but I have courage sasa baada ya kusoma this comment and u add something in my spiritual lyf..barikiwa sana
 
Back
Top Bottom