Sipati ujumbe wa salio linalobaki baada ya kununua Luku

Sipati ujumbe wa salio linalobaki baada ya kununua Luku

HOPEfull

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
1,882
Reaction score
2,313
Salamu humu

Natumia natumia line ya Airtel.

Kama kichwa cha habari kinavyosema.. msg zinazokuja ni za token tu na nyingine ya muamala kuwa unashughulikiwa. Lakini meseji ya salio lako limebaki kiasi gani kwenye airtel money sipati.

Au ni kwangu tu vipi huko wenzangu na mitandao mingine ikoje?
 
Back
Top Bottom