Sipendagi Ujinga

[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji23]
 
*"Sipendi demu anayeomba pesa" kuna wakati huwa najiuliza..nimetongoza mwanamke au nimetongoza OMBA OMBA?*[emoji125][emoji125][emoji125]

Sipendi ujinga kabisa[emoji35][emoji35]
 
Polisi amesimamisha taxi akauliza dereva mbona number za mbele haifanani na za nyuma? Dereva akamjibu...wewe kwani uso wako unafanana na matako yako? Tumecheka hadi sasa bado hatujaachiliwa..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Sipendagi Ujinga Mie
 
*Bibi kapigwa mtama na Kibaka na kuporwa simu, Kainuka na kuanza kumkimbiza kibaka, Kibaka kuona Bibi hakati tamaa akatupa simu, Bibi kaikota na kuendelea kumkimbiza kibaka, Kibaka _"Bibi kama ni simu yako si tayari umechukua"_, Bibi kajibu _"Bado Mtama"_*
*Ujinga sipendagi mimi"*[emoji23]
 
Leo nilipo ingia jikoni nikamuona *sisimizi* mmoja kwenye kabati nikamuwekea *visukari* kidogo mbele yake akaanza kulamba na baadae kidogo akaenda kuwaita wenzake. Alipoondoka me nikaifuta ile sukari ili wenzie wamwone *muongo*.
*SIPENDAGI UJINGA MIMI* [emoji35][emoji35][emoji35][emoji12]
 
Wakati naelekea home nikamuona Panya anahangaika kuingia kwa jirani huku mlango umefungwa . Nilichofanya ni kumgongea Mlango Jirani alipofunguwa nikajificha Panya akaingia Nahuruma saana na Sipendagi Ujinga Mie
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii kali
 
Zamani kreti za soda zikishanywewa tu unaenda kuzimalizia ukikuta nzi au mende unaeka pembeni.sipendi uchafu me
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ,umetshaaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…