Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Kuna jamaa tulipinga eti mke nitakayee muoa lazima aje atembeee naye sasa kwa jeur nimemuoa dada yake nasubiria aje atembee naye sasa sipendagi ujinga mimi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa. Atatembea nae tu. Hakatazwi kutembea na dada yake bwana*kuna jamaa tulipinga eti mke nitakayee muoa lazima aje atembeee naye sasa kwa jeur nimemuoa dada yake*
nasubiria aje atembee naye sasa
cpendagi ujinga mimi
Utaelewa tyu!Kumbe kutembea nae,me nilizani anatk kulala nae
Kuna watu vichwa vyao vinakazi ya kuvugia nywele tyuu!!Huyu asipo tembea na dada havuti ngiba. Kuna watu wanajua kujitoa ufahamu ili kuonyesha uhalisia wao.