isho_boy,
Mi najuwa wewe sio hater ila upo huru kuelezea hisia zako! Na kwavile hili jambo linasemwa sana, naomba leo tukate mzizi wa fitina!!! Naomba unisaidie kunipa mifano halisi na bila shaka,
Livejr,
xav bero na
Msukuma_De_Great watakusaidia kunisaidia kufahamu kile ambacho sikifahamu!!!
Nadhani unafahamu mimi ni mtu wa data... huwa siongei kutoka kichwani!!! Sasa tuanze na Kiba pale aliporudi kwenye game! Hapa nitatumia official Youtube Uploads walizofanya wenyewe!
Mwana ilikuwa uploaded
December 18, 2014, -
Chekecha nayo uploaded
June 29, 2015.
Alikiba & Christian Bella - Nagharamia--
Dec 19, 2015
Lupela nayo ipo uploaded February 06, 2016.
Aje nayo ipo uploaded
May 19, 2016.
Aje Remix uploaded
February 16, 2017.
Kiba X Baraka: Nisamehe
Sept 30, 2016
Kiba X Ommy Dimpoz: Kajiandae
Nov 05, 2016.
Turudi kwa Diamond sasa:
Nitampata Wapi--- Nov 20, 2014
Nasema Nawe---- March 27, 2015
Nana---- May 29, 2015
Utanipenda Dec 11, 2015
Diamond x AKA Make Me Sing Feb 12, 2016
Kidogo--- July 12, 2016
Salome-- Sept 18, 2016
Marry You--- Feb 02, 2017
Kabla hatujaenda kwa WCB; kwenye hizo ngoma; ni zipi ambazo Diamond alitoa mara baada ya Kiba kuwa ametoa ngoma?
Ninachoona hapo ni Lupela na Make Me Sing ndizo zilifuatana kwa gap la wiki moja!! Make Me Sing yenyewe haikuwa ya Diamond binafsi bali na AKA!! Sasa ulitarajia amwambie AKA wasi-release kwavile Kiba ame-release?!
Tena hapo hapo, wakati Diamond alitoa
Anyway, inawezekana kuna ngoma nimeziacha! Nitajieni na data zake nitatafuta!!!!
Turudi kwa WCB sasa!!!
Harmonize - Aiyola
November 06, 2015
Harmonize ft Diamond; Bado---
Feb 29, 2016
Harmonize- Niambie
March 16, 2016
Rich Mavoko - Ibaki Story
June 02, 2016
Harmonize - Matatizo ---
July 04, 2016
Ravnavvy - Kwetu----
August 14, 2016
Raynavvy: Natafuta Kiki--
Aug 31, 2016
Rich Mavoko ft Diamond Kokoro--- Nov 22, 2016
Queen Darleen ft Ravnavvy: Kijuso -- Feb 17, 2017
Rich Mavoko x Harmonize Show Me April 16, 2017
Rayvanny- Zezeta---
May 12, 2017.
Hapo nimesahau ngoma ipi?! Kama hamna, ni ngoma zipi ambayo WCB walitoa baada ya Kiba na team yake kuwa wametoa?! Hivi kabisa Kijuso ya Queen Darleen inatosha kusema ilitokana na kutoajiamini kwa sababu tu Kiba alikuwa ameachia Remix ya Aje ambayo na yenyewe wala haikuwa na jipya?!