Sipendezwi na hii tabia ya wasafi, kama shabiki inaniboa sana

Hapa mi huwa sioni km Kiba huwa anashindana na Mond, ila WCB ndo kila siku wanahaha kuhusu Kiba. WCB watoto wa juzi wamuache Kiba mhenga ana hadhina kichwani
Kivipi? Manake hapa nimeuliza mfano mmoja tu ambapo Kiba alitoa ngoma halafu WCB nao wakatoa!! Hadi sasa sijajibiwa!! Labda nisaidie wewe... post niliyouliza hilo swali with data ni hii hapa:

Na wewe ukikosa jibu, basi mnathibitisha kwamba watu mnaishi with hallucination... kuona na kusikia vitu ambavyo havipo!!!!
 
Sawa almas mzambele tumekusikia.

Kwanini umuogope na umfikirie competitor wako ukienda sokoni. Situation ya kiba na mondi inatupa bargaining power sie customers. Kwanini wasitoe vitu sie mashabiki tuamue? Alikiba usitafute pa kutokea. Umetoa vinyimbo vinabuma unatafuta escaping goat
 
Na kwa bahati mbaya hadi sasa swali nililouliza sijajibiwa ingawaje lipo straight forward!!!
Akujibu nani [emoji23][emoji23][emoji23] watoe wapi facts za kushindana na ukweli.
 

Clouds kama sebreni kwa Diamond hata akijamba ,mbioooo clouds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…