Sipendezwi na tabia ya Baadhi ya Wafuasi na viongozi wa CHADEMA kuita viongozi wa vyama vingine Majina ya Matusi, kejeli na dhihaka

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
SIPENDEZWI NA TÀBIA YA BAADHI YA WAFUASI NA VIONGOZI WA CHADEMA KUITA VIONGOZI WA VYAMA VINGINE MAJINA YA MATUSI, KEJELI NA DHIHAKA

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Unaweza kutofautiana na Mtu kimtazamo, kidini, kiitikadi, kielimu,kimaumbile, kihadhi, kiuchumi, kiukabila miongoni mwa mambo mengine na bado ukatunza heshima yake na yako na kuulinda UTU wake.

Kumzidi MTU Akili au Elimu isiwe sababu ya kumkejeli na kumdhihaki. Hicho kinaitwa Kiburi yàani kujiona bora kuliko Mwingine.

Mtu kuchagua kuwa Chama Fulani cha kisiasa isiwe kigezo cha kumtukana na kumshushia heshima yake.

Chunguzi zangu zinaonyesha, WAFUASI wengi wa CHADEMA wanaongoza Kwa kukejeli WAFUASI wa vyama vingine au wasio na vyama.

Wafuasi wa CHADEMA, wakikuuliza wewe Chama gàni ukawajibu hauna Chama au Chama chako ni tofauti na CHADEMA, wanaanza kuonyesha dharau, KEJELI na kukuona hujitambui. Jambo ambalo siô Sawa Kabisa. Hii siô HAKI.

Mtu anayohaki ya kuchagua Jambo lolote àmbalo halivunji Sheria ya nchi.

Sisemi kuwa vyama vingine kama CCM havina tàbia ya aina hiyo. Vinavyo lakini Kwa kiwango kidôgo ukilinganisha na CHADEMA.

CHADEMA Kwa tàbia hiyo mbaya ndîo Kinara namba Moja.

Siô ajabu MTU mwenye ushawishi Kabisa wa CHADEMA akathubutu kum- Label Kiongozi wa CCM au ACT kwa jina la KEJELI au dhihaka na asione shida.
Hiyo siô Sahihi Kwa Watu waungwana, kama Sisi Watibeli. Wapeñda Haki, Upendo, ukweli na Àkili.

Unamuita Mtu Bumunda,
Unamuita Mtu Kipara,
Unamuita Mtu Meko,
Unamuita Mtu Jumong n.k.

Kisaikokojia, MTU unayeamua kum-label Kwa majina Mabaya NI Yule àmbaye hutaki abadilike kuwa Mtu mzuri. NI adui yako na Huna mpàngo wa kumgeuza ràfiki.

Kutofautiana na Watu siô uadui.
Kumzidi MTU Akili siô uadui.

Huenda NI kwèli Kabisa wàpo viongozi wa CCM ambao wanabebwa Kwa mbeleko na Hawana uwezo lakini hiyo haimaanishi Hawana chochote wanachoweza kukifanya,
Simaanishi kuwa Mtu asiye na uwezo apewe nafasi iliyojuu ya uwezo wake ila nazungumzia wale wanaojiona weñye uwezo wanaodharau na kukejeli weñye uwezo mdogo.

Kiutawala, MTU Yule anayejiona Bora kuliko Wengine hunyimwa nafasi hata kama anauwezo kweli.

Hata kwèñye ngazi ya familia, Mtoto mwenye kiburi, dharau Kwa Watoto wenzake kisa amejaliwa kitu au Jambo Fulani íwe NI Akili au mvuto Mzazi mwenye Akili hawezi kumpa nafasi Kwa sababu Kiburi huleta Maanguko na hubomoa Nyumba.

Kikawaida Mbinu inayotumika kumshambulia adui ndîo Mbinu hiyohiyo inayoweza kûtumika kushambulia Watu WA nyumbani.
Mfano, kama Mbinu ya Chama Fulani NI utekaji na uuaji Kwa vyama pinzani siô ajabu Mbinu hizohizo zikatumika ndani ya Chama Husika.

Mfano, CCM wanatabia ya kuwaadhibu wapinzani waô Kwa Mbinu ya figisufigisu, Kuzuia Uhuru wa vyama vingine, n.k.
Hii inamaanisha hata Humo ndàni ya CCM Mbinu hizohizo hutumika ndàni ya Chama, kama CCM huzuia Uhuru wa vyama vingine hii inamaanisha hata ndàni ya CCM hakuna Uhuru.

Nikirudi kwèñye Hoja, CHADEMA inapotoa maneno ya kashfa na kum-label MTU WA Chama kingine Kwa Kanuni ya ukitaka kukuua mbwa mpe jina baya. Hii inamaanisha ndicho hichohicho kinachofanyika ndani ya Chama.

Sisi Watibeli tukitaka kujua tàbia ya Mtu au kundi la Watu Moja ya Mbinu tunayoitumia NI kuangalia MTU au kundi Hilo jinsi linavyowatendea Watu wanaotofautiana nao íwe ni upinzani au adui halisi.

Haki Ipo mpaka Kwa Adui.
Adui naye anahaki Zake. Kîla kiwango cha Adui kina namna ya Kutoa Haki.

Àndiko Hili halimaanishi kuwa Kosa linapofanyika MTU asikosolewe Bila kujali cheo Wala jina lake. Ila katika namna ya Kukosoa au kuadhibu Upendo na haki lazima vizingatiwe.

Mfano, Kiongozi wa Chama Fulani amebaka, Mahakamani ataitwa mshukiwa mpaka atakapokutwa na hatia, ñdipo ataitwa Mbakaji.

Lakini MTU hawezi kuwa Mbakaji daima, kama vile MTU asivyoweza kutenda ûzuri Fulani Daima.
Kum- Label Mtu Mbakaji kîla Siku hata kama ameacha kubaka NI dalili ya kumkosea HAKI mtenda Kosa.

Kisaikokojia na kifalsafa, Mtu anayetumia past yako hata kama imefanyika Miaka 10 iliyopita na ulishaacha huyo anachuki. Chuki huangalia bad past Bila kujali kuna mabadiliko au vipi.

Mfano, hooo! Huyo Mwizi WA Magari blah! Blah! Blah! Lakini hata kama NI kwèli lakini tukio Hilo lilitokea Miaka 20 iliyopita.
Ni kwèli aliiba lakini hiyo Haimaanishi kuwa mtu huyo Kwa Sasa NI Mwizi wa Magari.

Kihaki na kiutu, hata ûkifika Mahakama yoyote yenye kuzingatia Haki, Huwezi muita MTU Kwa Jina au Sifa mbaya iliyotukia Miaka ya Nyuma.

Hii inaenda sambamba na mambo mazuri.
Huwezi muita MTU mzuri Kwa vitendo alivyofanya Miaka Kumi Huko iliyopita. Au Huwezi kumwona Mtoto WA Fulani NI mwema Kwa sababu nyakati za Nyuma Babaake alikuwa mwema.
Ndîo hiyo ya kumpa MTU cheo Kwa kutumia Sifa ya Baba yake au ûkoo.

Hii inaenda Sambamba na mataifa, kûna Ile kasumba Watu wame- Label mataifa Fulani kama mataifa yenye weledi katika medani za kivita, mathalani Taifa la Israel.
Huwezi tumia Sifa ya mwaka 1967 itumike 2024. Mambo hubadilika.
Na mabadiliko NI sehemu ya HAKI ili kuendana na Hali, Muktadha, na Wakati Husika.

Wito wàngu, tàbia hii ya ku-label Watu Kwa majina ya dhihaka, KEJELI, matusi àmbayo inafanywa katika siasa za nchi yetu iachwe. Watu wawe waadilifu.
Nimeitumia CHADEMA kama mfano ambacho kinawakilisha vyama vingine. Kumaanisha wale wôte weñye tàbia hii waache kwani siô tuu kuwakosea Watu Wengine Ûtu wao Bali hata Wanao-Label wanajikosea.

Haina tofauti na Chawa, labda hiyo NI tàbia ya Kubuni.

Hivyo ndivyo Watibeli tunavyofanya mambo yetu.

Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
 
Una kipaji bata cha kuandika Bible.

wekeza nguvu kuelemisha ndugu zako ili wajijitambue na waache kutumika na sisiemu kama condom, Acha kupoteza muda kujadili watu ambao hawakusanyi kodi ilihali ndugu zako wakifa kwa umasikini kule Ushilombo.
 
Si mfuasi but that what they are and they deserve it japo si wote wako hivyo
 
Una kipaji bata cha kuandika Bible.

wekeza nguvu kuelemisha ndugu zako ili wajijitambue na waache kutumika na sisiemu kama condom, Acha kupoteza muda kujadili watu ambao hawakusanyi kodi ilihali ndugu zako wakifa kwa umasikini kule Ushilombo.

Ushilombo ndîo Wapi Mkûu?
 
Hakuna ubaya wowote wao kuitwa hayo majina. Ndivyo walivyo. Kam Chura kiwizi anajina sembuse hao kina bumunda. Tuwaseme tu coz ccm ni majuha pro max
 
Washindane kwa hoja
 
Hilo suala lilishasemewa na Mbowe kwenye Mkutano wa Baraza Kuu Mwaka 2022, na akasema "this must stop and stop now"
Na akasema inawezekana chama kikuu cha upinzani kinaweza kuwa ACT, CHAUMA, nk
 
CCM ndiyo wameanza hiyo tabia wanachofanya Chadema ni kujibu mapigo tu,au hujua kuwa CCM wanawaita wafuasi wa Chadema nyumbu? Mbowe na Lissu wanatukanwa matusi ya nguoni na vijana wa CCM. Hukumsikia Kada wa CCM Msigwa kwenye mikutano yake anamuita Mbowe Nkurunzinza?
 
Back
Top Bottom