Sipendezwi na tabia ya Baadhi ya Wafuasi na viongozi wa CHADEMA kuita viongozi wa vyama vingine Majina ya Matusi, kejeli na dhihaka

ndivyo walivyolelewa na mama zao- wengi wao hawakuona na kupata ulezi wa baba
 
Mimi binafsi napendezwa, ni vema chadema waendelee kuwaita yanawafiti.
 
Wakati CHADEMA wanatukanwa kwako sio issue kabisa. Huwa sipendi wanafiki Kama wewe wanaoegemea upande mmoja tu wa shilingi na kujiona wapo sahihi.
 
Nashukuru Kwa ukaribisho Mkûu lakini Kwa heshima yako naomba niwe MTU Huru àmbaye nitaweza kuwaweka Sawa ninyi ndugu wawili CCM na CHADEMA pasipo kumwonea au kumpendelea yeyote kwani sitakuwa na maslahi na Chama chochote
Ngumu mkuu...nisiwe mnafiki haiwezekani tu:Kucheka na anaye kuwinda akuangamize?:
 
Tatizo la wafuasi wa Chadema ni kuamini wao ni bora kuliko mtu yeyote yule Tanzania. Wana majivuno na dharau kwa kila mtu asiyekubaliana na nao. Na hapo hawaongozi Serikali. Naamini siku wakiongoza nchi hii itakuwa na mjumuisho wa Sheria za Serikali ya Taliban Afghanistan, Kiduku ya Korea Kaskazini, ya Serikali ya Burma (Sasa hivi Mynmaar) na China!
 
Vumilia siasa ndivyo zilivyo...

Angalia hao wafuasi wa Chadema wanavyompopoa kijana mmoja wa CCM...

View attachment 3055238

Cc: Mahondaw
Halafu Taikuni anataka eti CCM waitwe majina mazuri...?!CCM ni.I.NYA tu, tena wote..: Hapo wote wamebeba silaha za maangamizi kisa, gwanda na skafu ya CHADEMA!!Naijua hiyo ni Dodoma, kamanda alipita jirani na mkutano wa CCM akiwa anaelekea kwake akitoka kwenye mkutano wa ndani wa chama chake:CCM wakajitetea:_ Ilani yao inasema alipaswa kubadili njia?!@eti!
 
Hiki chama kinatupiwa sana mawe.
Poleni sana wafuasi na wanachama wa chadema. Yani hiki chama ni kama vile ndicho kinachokusanya kodi za nchi.
Tusio na chama tunawaonea huruma.
Umeongea kwa utu,staha na hisia sana: Uonevu wa CCM kwa CHADEMA ni wa juu sana:Umenikumbusha 2014 kwenye uchaguziwa wa Serikali za Mitaa Kule Geita Mjini mtaa unaitwa Geita-Hill ulimo Mgodi wa GGM.CCM tuliwashinda kwa tofauti ya kura 50 na hawakuwa tayari mtaa uangukie CHADEMA.Zilipigwa figisu uchaguzi ukafutwa ikawa urudiwe, tukaenda mahakamani, ni kwa mara ya kwanza niliona hakimu amekerwa na hiyo kesi_Namnukuu: " Vijana kwa nini wanawatesa hivyo....acheni kesi nendeni mkarudie tu uchaguzi mtashinda tena..Piteni kwa....mnywe soda..nitakuja nilipe..na mtumia meseji. :": Dadeki, tulipata ujasiri..Kampeni tena hazikuruhusiwa: Tulipiga Kampeni za mtandaoni,mpaka matokeo ya mwisho CCM walipoteana,.Mgombea wa CHADEMA aliibuka mshindi tena kwa tofauti ya kura 144 dhidi ya Mgombea wa CCM.
 
Uzi mrefu umeandika ujinga tu.
hizo ni dalili kuwa watu wengi ni jobless

Hivi mjasiriamali au mwekezajin unupata wapi muda kuandika Uzi wa kipuuzi kama huu

Haya sasa unata maccm tu wa sugar coat ili iweje
Ccm ni majizi tu ndo jina linawafaa
Hata mwajiriwa tu hapati huu muda
 

Hiki kipengele ni moja ya vinavyowaharibia
 
Hiki kipengele ni moja ya vinavyowaharibia
Hivi kama hauko bora na tishio kwa upande fulani utasakamwa sakamwa??!Hiyo picha mtu anata kupondwa matofali..kosa lake ni nini?!Acha unazi wa kishamba au unafikiri kujitambua kwamba uko bora kuliko ni kosa....?!
 
Hakuna ubaya wowote wao kuitwa hayo majina. Ndivyo walivyo. Kam Chura kiwizi anajina sembuse hao kina bumunda. Tuwaseme tu coz ccm ni majuha pro max
Haya majina wanajibatiza wenyewe. Mengine alijiita kichaa, jiwe, etc.
 
hawana hoja tena, hawana mawazo mapya wala fikra mbadala,

hitimisho la kila wanachozungumza ni hicho ulichobainisha tena kwa mihemko na ghadhabu 🐒
 
Andiko ZURI!

Swali unaonaje wale CCM ambao humwita
1.Mbowe Mzee wa Konyagi???

2.Wanaomwita Lissu CHIBA??

3.wanaowaita wafuasi wote wa CHADEMA NYUMBU??

4.Wanaomwita Mbowe Sultan??? kisa umwenyekiti??

Tuanzie hapo!!
 
Wanajikutaga Wana akili wakati ni majuha tuu wakioouuzwa na jamii.
 
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: ikulu.go.tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…