Sipendezwi na tabia ya Baadhi ya Wafuasi na viongozi wa CHADEMA kuita viongozi wa vyama vingine Majina ya Matusi, kejeli na dhihaka

UPINZANI WAKO HOI. NAWASHANGAA SANA WANAVYOKUWA WANATOA KAULI CHAFU NA MAJINA YA OVYO. TABIA HIYO NI YA KUIKEMEA SANA. MUNGU KATUBARIKI MAADILI NA BUSARA UPANDE WETU. CCM OYEEEE
 
Koroboi
 

Hata WAKOLONI WEUPE hawakuitwa majina mazuri ... Walitwa Mabeberu, Makabaila, Makaburu ....!!
 
Kumbe wote wakikuwa wagonjwa na wote wangefia Ikulu
Kifo kipo tu nilikuwa namkumbusha mleta bandiko kuwa aliyetajwa kuwa ni mgonjwa zaidi amekufa miaka 3 mbele ya yule aliyeonekana mzima zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…