Kwani uliambiwa hatujui kusoma na kuandika au ni viziwi mkiongea kwa sauti ya utulivu hatutasikia? Huo ni Ukorofi katika ubora wake. Ile Lugha ya shakarababa ratishapaba etc mnaitoaga wapi bro?Sauti kubwa n kwa ajili yenu nanyi mpate injili
Afu cha kushangaza hizo sio dhambi walaHawaoni dhambi nyingine bali dhambi kwao ni Ulevi, sigara na bangi.
Ile n lugha inayotumika mbinguni kuwasiliana, so hapo tunakuwa tunawasiliana na sir God moja kwa moja bila wingaKwani uliambiwa hatujui kusoma na kuandika au ni viziwi mkiongea kwa sauti ya utulivu hatutasikia? Huo ni Ukorofi katika ubora wake. Ile Lugha ya shakarababa ratishapaba etc mnaitoaga wapi bro?
Sasa hamjashtuka tu kwamba ni mungu gani huyo hasikii usiku kucha pamoja na muda kuwa umeenda sana? Hana majibu auIle n lugha inayotumika mbinguni kuwasiliana, so hapo tunakuwa tunawasiliana na sir God moja kwa moja bila winga
Ila wanatengeneza mtu wa mchongo aje mbele atoe ushuhuda kwamba amejibiwa mpaka akashangaa.Afu cha kushangaza hizo sio dhambi wala
Bar uwataje hao wehu wa kazi gani sasa?Nanyie anzeni kuwataja mkiwa Bar