Mchungaji alisema: Mgeukie jirani yako na umwambie Mungu yu mwema.
Waumini wote wakageukiana na kusema Mungu yu mwema.
Mchungaji: Leo nitawaombea wale wote wasio zaa. Mgeukie mwenzio na umwambie leo utapata mimba...
Mara likasikika bonge la kofi siti za nyuma! Kumbe mtoto mmoja alimgeukia baba yake na kumwambia "Leo utapata mimba."