Sipendi dharau

Sipendi dharau

PNC

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
8,106
Reaction score
14,353
Mchungaji alisema: Mgeukie jirani yako na umwambie Mungu yu mwema.

Waumini wote wakageukiana na kusema Mungu yu mwema.

Mchungaji: Leo nitawaombea wale wote wasio zaa. Mgeukie mwenzio na umwambie leo utapata mimba...

Mara likasikika bonge la kofi siti za nyuma! Kumbe mtoto mmoja alimgeukia baba yake na kumwambia "Leo utapata mimba."
 
Haha, hapo na imagine mzazi ni MARWA na ndo amenda kanisani kwa shinikizo la mkewe, tu
 
Back
Top Bottom