bwahahaha arifu niaje aiseee.......kujuana na jamaa wa humu michosho sana arifu......mpe kubwa huyoUtakuta mtu ameshajua kuwa saint ivuga wa JF ni nani anazunguka zunguka kuambia watu kuwa fulani ndio SI .mwanaume mzima kidomodomo cha nini? Si ukaushe unawashwa na nini? tukitaka kujulikana kwa majina yetu real tutajitokeza tu ...kula tano zako na tulizana mwanaume mzima kuwa mbea haisaidii...
@ bongo dsm.
kwema chalii 'angu.. Kwa hiyo mwana wadau wameshakuweka uchi hazarani? Nanihi naye ameshtukia?
Punguzeni vilomo lomo jamani....khaa!!
On a serious note; Mtu unaanzaje kumtangaza mwenzio kwa watu ilhali yeye mwenyewe hapendi?? Akitaka kujulikana atajiintroduce mwenyewe.......hayo mengine sio ustaarabu kabisa! Ukiongea na watu kwamba we wamjua flani inatosha sio lazima uwaoneshe na wao wamjue!!!
Tuweni na staha jamani!!
...kamanda vipi tena...wadau wamezingua..?@Saint IvugaUtakuta mtu ameshajua kuwa saint ivuga wa JF ni nani anazunguka zunguka kuambia watu kuwa fulani ndio SI .mwanaume mzima kidomodomo cha nini? Si ukaushe unawashwa na nini? tukitaka kujulikana kwa majina yetu real tutajitokeza tu ...kula tano zako na tulizana mwanaume mzima kuwa mbea haisaidii...
@ bongo dsm.
...kamanda vipi tena...wadau wamezingua..?@Saint Ivuga
...umeona eeh...kujuana kusiwe tabu...yapa mkuu..soon nitafutika na hii ID ..bora wakujue washkaji zako tu kama wewe hivi ila sio vinyamkera wanaanza kutangaza tangaza