Sipendi kukosea kuandika haya maneno kwa ufasaha

Sipendi kukosea kuandika haya maneno kwa ufasaha

Na pia hatamaongezi huchangia mtu kuziandika kama anavyo tamka tu

Ikiwa anatamka kachubali ataiandika hivyo pia viswahili vinategemea ulipokulia
viswahili ni wingi wa kiswahili?
Ha ha ha mmh
 
Shule hufundisha kuandika inavyotakiwa, lakini kuna mifala pakuweka L wao huweka R. Na penye R wao huweka L lakini wakiwa kwenye exam huandika sahihi kabisa.
Sio mifala, hiyo ni effect ya ki mazingira mkuu.
Nilipo nasoma advance na ndugu zangu kadhaa kutokea Dom tulikuwa tunaonekana kushindwa kutumia R n ma L.
Ukienda kuomba brush ya viatu utakuta anakusahihisha eti sema brush sio blush.
Mtu wa kaskazini kilimanjaro hawezi kukosea hilo, lkn nenda kaskazini musoma, R ataweka kila sehemu hadi kulala atasema kurara kura razima n.k.
Tusilaumiane
 
Back
Top Bottom