Sipendi kuomba wala kuombwa vitu. Je, nina roho mbaya au ni kawaida?

Khaaa kesho nitakuja kuazima blenda
 
Khaaa kesho nitakuja kuazima blenda
Swadakta... hivyo ndo vile vitu vidogo vidogo ninavyosema ambavyo vinaleta kero flani hivi kama havipo jirani!! So, ukiazima nakupa kwa moyo mkunjufu lakini usiporudisha kwa wakati; kwa blender sikususii sema itakuwa unatafuta kuliwa kwa mshahara wa blender!
 
Kuliwa mara moja tu then unaniachia blender mbona fresh tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kukuna Nazi kwa kibao mtihani Sana Ila waweza saga hata kwa blender au Kuna kifaa hukai ka mbuzi ya Nazi Mambo yaenda murua kabisa, maana Nazi za baharesa sio nzuri ka za kukuna maana za kukuna ukipikia wali au maharage inakuwa tamu plus harufu yake.
 
Ushawahi kupika ndondo la njano halafu ukapiga kitu cha Azam Coconut?! Acha kabisa kabisa yaani!!

Sema kwenye wali nadhani sio mzuri manake kuna siku nilizipiga kwenye mchele lakini nikauona mbayaaaa!! Basi cjajaribu tena!!
 
Hahaaa haya mazoea Ni kero Sana, mtu anayeomba chumvi Mimi humnunulia hata tano, kitunguu namnunulia hata sado kabisa, kuweka mipaka kwa watu tusiowajua vizuri Ni mhimu Sana tu.
Kuna sehemu niliyokuwa nakaa nikiwa mgeni nashangaa majirani wakawa wananichangamkia kumbe wanataka mazoea kila mtu anakwambia lake, mwingine Mara naomba hichi na kile basi kero tu na Mimi spendi mazoea, halafu wakawa wanaleta maneno ya hapa na pale sema niliwafungia vioo. So kibongo bongo kuombana vitu nikutafta mazoea na magomvi yasiyo na kichwa wengine wanakuja kwako ili kukuchunguza wakapate umbeya wa kuongea
 
Ushawahi kupika ndondo la njano halafu ukapiga kitu cha Azam Coconut?! Acha kabisa kabisa yaani!!

Sema kwenye wali nadhani sio mzuri manake kuna siku nilizipiga kwenye mchele lakini nikauona mbayaaaa!! Basi cjajaribu tena!!
Ila Nazi ya kukuna ndio best aisee Azam coconut imekuwa ka mchina flani so inakuwa ka sio Nazi halisi Bora hata Nazi za American coconut zilikuwa nzuri sema sikuhizi haziko madukani
 
Ila Nazi ya kukuna ndio best aisee Azam coconut imekuwa ka mchina flani so inakuwa ka sio Nazi halisi Bora hata Nazi za American coconut zilikuwa nzuri sema sikuhizi haziko madukani
Basi mi ndo naziona bonge la nazi kuliko hizi fresh! Lakini nadhani najua kwanini naziona poa tu... nikiwa kavulana kadogo nilienda kuishi na uncle. Kwavile lilikuwa halijaoa, nikawa najipikia mwenyewe! Nilidumu kwenye hiyo situation for almost 20 years na muda wote huo nilikuwa natumia mafuta!

So, mtu aliyedumu kwenye mafuta for years, akikutana na nazi za Bakheresa lazima azione bonge la nazi!
 
Yaani mwaka nikija kuishi na mtu wa hodi hodi nyumba za watu, wallah atakuja kunikondesha! Hakuna kitu nisichopenda kama mtu wa hodi hodi nyumba za watu tena bila sababu za msingi kwa sababu, binafsi nikikupigia hodi kwako basi fahamu malaika atakushukia hiyo siku!! Ndo maana yule sister angu alinikera kupita maelezo... yaani hujamaliza hata wiki tayari unaenda kwa jirani kuomba chumvi!!!!!

Anyway, nadhani mazingira aliyokulia yalichangia coz' alikuja mjini kusoma sec baada kufeli Std VII huko kwao!! Probably kwa maisha ya vijijini, mambo ya kuombana chumvi ni ya kawaida!
 
Unaanzaje kwa mfano kuninyima?! Yaani ungejua nilivyo na maneno hamasishi, nyegeshi na matamu, haki ya Mungu wala usimgesema hivyo!!
Haha nitakuwa nakunyima blenda
 
Hii tabia ya kuishi kwa uoga na kujipendekeza kisa unaohofia hutazikwa vizuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nakachukia mno, sasa ukizikwa na watu wengi ndiyo unaenda mbinguni [emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri ufe ndio utajua hujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…