MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Kwa sasa mwanamke wa kufuta ndoto zake kisa zako labda umchonge wa kinyago
Sent using Jamii Forums mobile app
dah hebu nikuffolow mie yaan umenichekshaaaaaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sasa mwanamke wa kufuta ndoto zake kisa zako labda umchonge wa kinyago
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Teh teh weka ganda la ndizi niteleze wallah ila ntahakikisha silambi mchanga,sianguki hata goti nitalitumia kujizuia. Wanawake tuwe na akili B wakati mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ya Leo kali akili yako inabidiichunguzwe ww unapigika lkn kuna mwenzio anahudumiwa kwa kupewa matumizi kila kitu kama mke nae wala haombi anapewa tu unamhudumia kila kitu na bado aje akuache
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza jua kabisa anachofanya ni chako pia cha watoto wenu pia kaa ujijua haupotezi hapo bali unawekeza. Wanawake kama nyie mnatoeka wa kwa kasi saaana duniani wamebaki chuma ulete
Sent using Jamii Forums mobile app
Ogopa mwanaume anayefurahi akiona pesa zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiangukia uso ukatoa na meno ndio utajua kitonka ni mlima au mserereko [emoji6]
Basi mama basi! Ila niliyokwambia yaweke akilini yaweza kua ukumbisho wetukuna mtu ananiuliza unalia nn nashindwa ht kujibu! ahaha i wish unione!hebu nihurumie mwenzako mbavu zangu bas we dada !kha
Upo kama make wangu ingawa mimi ndo nampa za kutosha wala hatumii anakaa nazo tu hongera sana sasa mpange na umwambie mipango yako unayotaka kuachieve akusaidie kwenye hilo
sent from my BlackBerry keyone using JamiiForums mobile app
Basi mama basi! Ila niliyokwambia yaweke akilini yaweza kua ukumbisho wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaMhm specie yenu hapa duniani inakaribia kutoweka, hebu fanya mpango uniunganishe na mdogo wako
Yes or No
Hapo kwenye utunzaji tusasa wewe upo tofaut na dhima ya mtoa mada !wewe unatoa mkeo anazitunza hilo ni jambo jema sana !LAKINI MWENZAKO ANATOA ANASHINDWA TIMIZA NDOTO ZAKE !KWAHYO MPO TOFAUTI
Pia ndoa zenye kudumu zenye hofu yamunguDoris Gabriel, Uwe na moyo wa kutaka kukaa sio kuona tu. Kwa maana Wengi huwa wanatamani kuingia wakati wengine wanataka kutoka. Mungu akusaidie usiwe miongoni mwa watakaoingia na kutoka.
Muhimu ujue pia ndoa nyingi imara na zilizo na furaha huwa zinajengwa na Mwanamke.
Duhhhh sometimes ujue unampa anaenda kutumbua nawengine jamaniEla usimpe ila mkumbuke mwenzio japo vi boxer boxer maana wanaume walivyo hawajali kuna siku mumeo atajikuta anatembea vipumbu nje baada ya suruali kutatuka katikati huku boxer ya ndani ikiwa imeachia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika mwanamke MPUMBAVU ATAVUNJA NYUMBAYAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE...
MWANAMKE MWEREVU ATAIJENGA NYUMBA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE..
If And only if..that is true. ..pull up your Sox. ..the most important thing you' re supposed to do is...
Hakikisha unafahamu miradi yards mumeo yote uijue alafu muiweke kwa legal aspects to be in safe side...
Mpe mumeo full support 100% mtafanikiwa na Mungu akubariki..AMINA..by..another JJJ
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu ndugu yangu ila huwez amini toka nimejifungua familia yao haikawahi hata kunipa sabuni yamtoto ila wao wakitaka hela wananiomba nawapa wifi hatujala nakopa atakwa watu nawapa Mimi nimesoma ila sina bahati yaajira Niko mwenyewe nimenuniwa Na wazazi nakuniblock kisa sina Kazi ila babu yangu nimzee sasaivi ela anayopata namuomba ananisaidia kiukweli toka hapo sijawahi kuwa Na furaha wala amani kamwe just imagine unaishi kwa ndugu walewale namwanaoDuuh watu wanapitia magum sana lakin ukikutana nae anatabasam tu ndo maana kamwe stokuja mdharau mtu asee
Maana akijuhadithia basi tu.
Acha tu ndugu yangu ila huwez amini toka nimejifungua familia yao haikawahi hata kunipa sabuni yamtoto ila wao wakitaka hela wananiomba nawapa wifi hatujala nakopa atakwa watu nawapa Mimi nimesoma ila sina bahati yaajira Niko mwenyewe nimenuniwa Na wazazi nakuniblock kisa sina Kazi ila babu yangu nimzee sasaivi ela anayopata namuomba ananisaidia kiukweli toka hapo sijawahi kuwa Na furaha wala amani kamwe just imagine unaishi kwa ndugu walewale namwanao
Sent using Jamii Forums mobile app