Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

Siungi mkono hoja, sijui kwanini naona tu siyo sahihi
 
Asante sana mpendwa kwa ushauri wako.sio kwamba biashara yake haiendelei hapana inaendelea vizuri sana but ni mimi ndo nataka ifanikiwe zaidi na zaidi tena zaidi .Asante sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke hasa stahili yake kukatiwa kadi isiyo na chini ya US $ 20,000 kwa matumizi ya kawaida.

Na email alerts zinazoonyesha kila kinachonunuliwa kwa uwazi zaidi.
 
Dah! Nimekupenda sana weye! Mumeo ana bahati sana ya kuwa na mke kama wewe, ila ongea naye umwambie nia yako ya kufungua biashara yako pia.

 
Mume na mke waaminiane 100%.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salute[emoji120] [emoji120] [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haha nilikuona jana kwenye uzi wa le boss lady sema sikuwa na mzuka wa kucomment nikawa napita tu!upo mdogo wangu!
Hahahaa,mimi nipo dada ang,kwenye ule uzi nlipigwa cha mbavu na boss lady...nkaona nitulie.
 
Ni muhimu ukatimiza ndoto zako pia, itakupa amani na furaha zaidi ya ilivyo sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…