kabisaa mie naweza pata hata ugonjwa wa tumbo.ndio maana tunatofautiana ndugu yangu
Haha sisi mbona tuna mioyo ya kupondeka sasaHeaven Sent ya kweli haya?
ukweli ni mzuri dada yangu JJ'ska
kabisaa mie naweza pata hata ugonjwa wa tumbo.
Na sitaki kuwa muongo lol
kabisaaaaa, kwa nini nishindwe kulala jamani kisa kuigiliza.
umaana upi hebu fafanua kidogo? mbona kama mie naona tu nyota nyota?
mawazo ya nini tena dada JJ'skabisaaaaa, kwa nini nishindwe kulala jamani kisa kuigiliza.
siwezi jaman mie
ila niulize tu sijui tumbo la kuharisha linatoka wapi, hivi mawazo yanazidi eeeh.
nimekumbuka kitu nikacheka.
umenielewa kabisa wala usihofu, nasema mie nikitoa hiyo hela ka bi dada napata na kaugonjwa ka kuharisha kwa siku kadhaa, nauliza ni mawazo yanazidi ama?
hahongi hata ila kalogwa. Bora angehonga maana kuna wakati angefunguka akili. Hapo kalogwa na kamzizi fulani hivi maana sio kwa kutoa hukoNasisitiza kama yeye akiwa nazo hakujali wewe ndiye unamjali umeliwa, ila kama mnapeana safi sana. Vinginevyo unahonga
[emoji4] mimi apa[emoji4]Mhm specie yenu hapa duniani inakaribia kutoweka, hebu fanya mpango uniunganishe na mdogo wako
Yes or No
hahahahahhaahahThis lucky husband could be Pinno
But Pinno was Dishi enough to be Dished out
Ahahahaaaaaa uwiii mbavu zangu mie,Wewe mpe hela, mpe hela, mpe mapenzi na usisahau kumpa muda wa kwenda kwa mke mdogo aliyemjengea nyumba.
Zaidi kudumu kumwomba Mungu maana shetani anawinda sana ndoa kama hizo maana ni chache sana hasa ktk kizazi hiki cha nyoka kinachotaka usawa!Ndoto zilikuwa zako ulipokuwa single sa hivi umeolewa ni zenu coz ninyi sasa ni mwili mmoja so kama kuna vitu viko achieved those are your dreams satop saying hujaachieve dreams zako
Umesema kila ukimpa mumeo anafanyia kitu mlichopanga kwa uaminifu na wewe uko happy hujihisi kupungukiwa chochote and your family is happy what is it that you need to worry???