Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

ukweli ni mzuri dada yangu JJ's

Utofauti baina yetu binadamu ndio unaotukamilisha
kabisaaaaa, kwa nini nishindwe kulala jamani kisa kuigiliza.

siwezi jaman mie

ila niulize tu sijui tumbo la kuharisha linatoka wapi, hivi mawazo yanazidi eeeh.
nimekumbuka kitu nikacheka.
 
kabisaaaaa, kwa nini nishindwe kulala jamani kisa kuigiliza.

siwezi jaman mie

ila niulize tu sijui tumbo la kuharisha linatoka wapi, hivi mawazo yanazidi eeeh.
nimekumbuka kitu nikacheka.
mawazo ya nini tena dada JJ's

umekumbuka nini ?

au sijakuelewa?
 
Ww ni mwanamke wa aina yake aisee,keep it on.

Philips X2560
 
mawazo ya nini tena dada JJ's

umekumbuka nini ?

au sijakuelewa?
umenielewa kabisa wala usihofu, nasema mie nikitoa hiyo hela ka bi dada napata na kaugonjwa ka kuharisha kwa siku kadhaa, nauliza ni mawazo yanazidi ama?

teh teh nakumbuka nilishasikia mtu mwingine anafanana na mimi kwenye hako kaugonjwa.
 
Nasisitiza kama yeye akiwa nazo hakujali wewe ndiye unamjali umeliwa, ila kama mnapeana safi sana. Vinginevyo unahonga
hahongi hata ila kalogwa. Bora angehonga maana kuna wakati angefunguka akili. Hapo kalogwa na kamzizi fulani hivi maana sio kwa kutoa huko
teh teh
 
Ni kawaida dada kwa mwanamke mwenye shukrani hata mimi naweza kutoa as long as anafanya vitu vya maana na wewe unaona vitawasaidia baadae
 
This lucky husband could be Pinno

But Pinno was Dishi enough to be Dished out
 
Wewe mpe hela, mpe hela, mpe mapenzi na usisahau kumpa muda wa kwenda kwa mke mdogo aliyemjengea nyumba.
Ahahahaaaaaa uwiii mbavu zangu mie,
Naomba uniache mwajuma huo ushauri mpe MBITIYAZA
Siwezi fanya huo uzezeta wooiiiii
Eti nampea nampea bongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndoto zilikuwa zako ulipokuwa single sa hivi umeolewa ni zenu coz ninyi sasa ni mwili mmoja so kama kuna vitu viko achieved those are your dreams satop saying hujaachieve dreams zako

Umesema kila ukimpa mumeo anafanyia kitu mlichopanga kwa uaminifu na wewe uko happy hujihisi kupungukiwa chochote and your family is happy what is it that you need to worry???
Zaidi kudumu kumwomba Mungu maana shetani anawinda sana ndoa kama hizo maana ni chache sana hasa ktk kizazi hiki cha nyoka kinachotaka usawa!
 
Back
Top Bottom