Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

Kupewa hiyo hela duh labda awe amechepuka huko so anakuja kuomba radhi kisirisisri anaamua kunilainisha

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Kupewa hiyo hela duh labda awe amechepuka huko so anakuja kuomba radhi kisirisisri anaamua kunilainisha

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 



wewe ni wa 2 toka uzi pg 1! niliekuelewa! wengine mhhh! utelezi trans
 
Niliwahi kuwa na gfriend kama wewe hivyo ulivyo muda wote alipenda kuniona nina furaha na amani, alinisaidia mno, nikiwa chuo, sad end nilifanya makosa akaniacha, so dada yangu mpo wachache mno wa aina yenu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Hakuniambia toa hela wala nini but mimi mwenyewe nikamwambia niko na pesa nikaenda bank nimetoa hela zote hadi za mtaji wa biashara yangu ninayofanya online nimempa. Nimebakiwa tu na 100k za kuniwekahadi mwisho wa mwezi nianze upya kusave"..

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mwanamke ni mfano wakuigwa Mungu akupe rehema.
 
Muhh umecheka??(damn)
Si ww umeeleza stori kama
Hii hapo juu au? So si ww ulikuwa kwa babu ulisema so nawe kipindi unamfanyia ivo yule mwanaume ulichekwa hivi hivi kama ulivocheka eehh!!?
 
Kwa maelezo yako unaonekana unaupendo wa dhati kwa mmewako.
Nayote unayomfanyia mme wako ni kwasababu ya upendo na kujitambua "unafanya kwajili ya familia yako"

Lakini pia hofu uliyonayo juu ya kutimiza ndoto zako si ya kupuuza.

Kiufupi unahitaji kumiliki,kutafuta na kuwa huru kiuchumi na kimaamuzi juu ya mapato yako.

Ni hatari sana kuishi kwa kutegemea fikra na maono ya Mme wako tuu!!kwa kisingizio cha upendo na utii.Hiyo ni hofu ya kuuogopa ukweli na uhalisia wa maisha ya ndoa.

Mmewako ni binadamu anaweza akakengeuka tabia,anaweza akafilisika,anaweza akapenda mwanamke mwingine 4no reason, anaweza akaugua kiasi cha kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi,anaweza kukosa uwezo wa kukutimizia kila hitaji ,ama kutangulia mbele ya haki n.k

Kufanya hivyo haimaanishi umejitenga ama umekuwa mbinafsi bali ni kutanua wigo wa Uhuru wa kiuchumi kwa wanafamilia.

Utakuwa huru kumsapoti mmewako,watoto wako,ndugu zako bila hofu,unyonge,kuomba,utegemezi wala unyenyekevu pasina sababu.

Utajiamini,utafanya maamuzi ya kishujaa kama mama kwenye familia na jamii yako kwa ujumla.

Watoto wako watamfrahia mama mwenye uwezo wa ku-pay bills bila kuomba,ndugu,jamaa na marafiki zako watakfrahia kama mwanamke mwenye hadhi,heshima,nawakutegemewa!

Hata mmewako atajivunia kuwa na mwanamke mwenye sifa njema katika uzuri wa tabia,sura,na kipato...ataringa mbele ya wanaume wenye wake wachunaji na wavivu.

Kikubwa kadiri utakavyo fanikiwa usisahau,kumpenda,kumheshimu,na kumtii babawatoto.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah hii dunia banah
Mdada unaonekana kama hii stori ni kwel basi una mapenzi ya dhat sanaa na naona ndoto ako kuu ulikuwa ukiota uje ishi ktk maisha ya furaha na amani.

Binafsi kwa mm nilivo usingenifaa kwa sababu moja tu kwa mwanamke huwa naangalia kichwani
Sasa ww usingenifaa maana hunipi changamoto yaan wew kunipa tu ntaonekanaje baba bora? inatakiwa unipe changamoto banah!
Mfano ulivokuwa umepanga kufanya biashara yako unaniambia na kwa kuwa pesa ilikuwa bank unaichukua unaanza hiyo biashara
Kitakachofata ni mm kutobweteka maana naona mke wangu anapeta mm stokuwa na hamu ya kuwa nyuma nani achekwe! Sio tu eti kumpa furaha mumeo hapana hata hayo matumizi ya nyumbani tu kama sitoi hela si amani tayar maana sipati usumbufu sio kila siku ati unipe tu alaaah halafu nafasi angu iko wap sasa?

Bado niponipo sana tu
 
Kama vile upo kwenye mawazo yangu, mie nimeona kama vile mume wangu atakuwa na akili mgando maana hawazi chochote, kweli sikatai kumsaidia mume wangu lakini sio kwa kiwango hicho huo sio upendo ni kumshushia hadhi kiongozi wa familia.
 
Muhh umecheka??(damn)
Si ww umeeleza stori kama
Hii hapo juu au? So si ww ulikuwa kwa babu ulisema so nawe kipindi unamfanyia ivo yule mwanaume ulichekwa hivi hivi kama ulivocheka eehh!!?
Huyu nae tunataka tumpeleke kwenye maombi maana hayupo sawa kulingana na story yake aliyotupa
 
Kama vile upo kwenye mawazo yangu, mie nimeona kama vile mume wangu atakuwa na akili mgando maana hawazi chochote, kweli sikatai kumsaidia mume wangu lakini sio kwa kiwango hicho huo sio upendo ni kumshushia hadhi kiongozi wa familia.
Mnamfundisha tabia mbaya ee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…