Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh! Kwahiyo ulipanga kufungua biashara bila kumshirikisha!! Mimi Nina mtazamo tofauti na wengi, unaonekana mke mwema lakini haumpi changamoto mume wako kwasababu wakati wote unakubali mawazo yake tu yako unayasitisha. Ni Kama vile una amini sana mipango ya mume na sidhani hata kama huwa unafuatilia biashara zake kwa undani.
Jaribu kumueleza mume wako mipango yako ya biashara na wewe pengine ni mizuri zaidi ya kwake. Kingine msiweke mayai yote kwenye kapu moja, siku biashara yake ikiyumba itakuaje? Halafu hakuna ndoto zako na zake, zote ni zenu.
Kingine jitahidi kuijua kwa undani biashara ya mumeo maana kuna kesho na kesho kutwa.
Mwisho ufanyajo ni kawaida kwa wana ndoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]senkenke bus traveller coach
Wewe mwanamke ni mfano wakuigwa Mungu akupe rehema.Habari wapendwa,
Naomba kwa wale wanandoa mnisaidie hapa kama ni kawaida kwa wanandoa ama ni nini? Namshukuru Mungu tulipata kuoana na mume wangu, kweli maisha ni mazuri tunafurahia ndoa yetu na watoto wetu pia.
Namshukuru Mungu pia amenipa mume ambaye sio mlevi wala mpenda starehe yaani inshort hela hachezei anafanyia vitu vya maana sana.
Kuna wakati tulifungua joint account ilivyofika kiwango tulikuwa tunataka tukakubaliana akazitoa na akafanyia kazi nzuri sana kwa uaminifu. Na pia mara nyingi nikiwa na hela ambazo najua sizitumii kwa muda huo nampa anafanyia biashara zake baadaye nikihitaji anazirudisha.
Kabla na baada pia ya kuolewa nina ndoto nyingi za mimi kufikia level fulani na nilimshirikisha pia na akalifurahia.
Sasa tatizo linakuja kwamba kweli mpaka leo karibia miaka minne sasa hakuna kitu nimefanya katika kuachieve ndoto zangu, nimepiga kihatua kidogo sana, hela naweka akiba inafikia kabisa kiasi nataka kutimiza malengo yangu but najikuta tu nimempa mume wangu bila yeye kuniambia nimsaidie.
Yaani niko hivi sipendi kuona mume wangu hana amani au akiwaza wapi apate hela au akiniambia hasara aliyopata katika business muda mwingine nachukua card yangu ya bank naenda kutoa hela zote nampa kwa kumwambia hii hela siko na kazi nayo na naona niweke huko kwa business yako so zitumie tu kule usirudishe. (But lengo langu ni kutaka tu ajisikie vizuri pamoja na hasara aliyoipata hela nyingine imekuja) na ukimpa anapeleka pale kwa uaminifu kabisa.
Hela ya matumizi akinipa kweli namrudishia sijui kwanini but naona tu kwanini nichukue hela wakati mahitaji madogomadogo ya nyumbani naweza toa hela na vile bado hatujaanza kusomesha so mahitaji sio mengi si bora hiyo hela aendelee kuizungusha kwa biashara.
Basi naona tu hivyo na nakuwa na amani. Weekend hii ilikuwa nikachukue frame ya kufanyia kabiashara kangu (hili hata sikumwambia kwamba nimeshapata frame) but juzi akaniambia habari ya kiwanja alichokiona mjini sehemu nzuri sana na kina title na alipokuwa anaongea anaonesha kabisa kwamba we real need that land.
Hakuniambia toa hela wala nini but mimi mwenyewe nikamwambia niko na pesa nikaenda bank nimetoa hela zote hadi za mtaji wa biashara yangu ninayofanya online nimempa. Nimebakiwa tu na 100k za kuniweka hadi mwisho wa mwezi nianze upya kusave .
Wapendwa jamani hii ni kwangu tu ama ni kwa wanandoa wote? Sifanyi chochote kuachieve my dreams but niko na amani sana ndani ya moyo wangu kwasababu my husband is so happy napenda tu kumwona ana furaha sitaki kabisa apate stress kisa hela au kisa mambo yake hayaendi vizuri.
Namuombea sana na pale naweza kutoa pesa natoa sana na pale pa kumencourage namuencourage sana na kwa mimi hakuna kitu mimi nimejifanyia and am happy.hii itakuwa ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
nishasema mtanikuta nimegongwa na gari kwa kuwehuka.
Hapana aiseeh, sina moyo huo na siwez kuwa nao, naona na nyie mmebarikiwa kuliko wanawake wote
[emoji85] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
hahaha lipo full leo hakuna seat hahaha naona wanavyoning'inia madirishan lol
Angalizo
Angalizo
Ni dhambi kukosoa chochote, hapa ni mwendo wa kusifia tuu, lazima tupondeke mioyo [emoji26][emoji26][emoji26]
Hapana chezea miteremko, senkenke plus kitonga lazima sifa zimwagike [emoji23][emoji23][emoji23]Hahah!, asee kumbe ni hayo, basi kazi ipo...lol
Nimeona masifa kemkem manake..
Hapana chezea miteremko, senkenke plus kitonga lazima sifa zimwagike [emoji23][emoji23][emoji23]
Muhh umecheka??(damn)Ni mbaya sana kumuamini binadamu mwenzio kiasi asilimia zote nimecheka sana hivi kweli unakuwa Na confidence kuwa mwanaume hakusaliti kuna mwingine anachepuka ila akirudi kwako huwezi kugundua hatamichepuko anaipa time ya mawasiliano kwamba kuanzia mida Fulani usinitafute nitakutafuta wewe pia mpaka uanze kunitafuta mpaka nikushtue Mimi akija kwako utasema malaika
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama vile upo kwenye mawazo yangu, mie nimeona kama vile mume wangu atakuwa na akili mgando maana hawazi chochote, kweli sikatai kumsaidia mume wangu lakini sio kwa kiwango hicho huo sio upendo ni kumshushia hadhi kiongozi wa familia.Daah hii dunia banah
Mdada unaonekana kama hii stori ni kwel basi una mapenzi ya dhat sanaa na naona ndoto ako kuu ulikuwa ukiota uje ishi ktk maisha ya furaha na amani.
Binafsi kwa mm nilivo usingenifaa kwa sababu moja tu kwa mwanamke huwa naangalia kichwani
Sasa ww usingenifaa maana hunipi changamoto yaan wew kunipa tu ntaonekanaje baba bora? inatakiwa unipe changamoto banah!
Mfano ulivokuwa umepanga kufanya biashara yako unaniambia na kwa kuwa pesa ilikuwa bank unaichukua unaanza hiyo biashara
Kitakachofata ni mm kutobweteka maana naona mke wangu anapeta mm stokuwa na hamu ya kuwa nyuma nani achekwe! Sio tu eti kumpa furaha mumeo hapana hata hayo matumizi ya nyumbani tu kama sitoi hela si amani tayar maana sipati usumbufu sio kila siku ati unipe tu alaaah halafu nafasi angu iko wap sasa?
Bado niponipo sana tu
Huyu nae tunataka tumpeleke kwenye maombi maana hayupo sawa kulingana na story yake aliyotupaMuhh umecheka??(damn)
Si ww umeeleza stori kama
Hii hapo juu au? So si ww ulikuwa kwa babu ulisema so nawe kipindi unamfanyia ivo yule mwanaume ulichekwa hivi hivi kama ulivocheka eehh!!?
Mnamfundisha tabia mbaya eeKama vile upo kwenye mawazo yangu, mie nimeona kama vile mume wangu atakuwa na akili mgando maana hawazi chochote, kweli sikatai kumsaidia mume wangu lakini sio kwa kiwango hicho huo sio upendo ni kumshushia hadhi kiongozi wa familia.