Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

Unaudanganya umma kuwa uko happy, lakini ukiisoma post yako vizuri kuna malalamiko ya wewe kutotimiza ndoto zako na unaona kama unacheleweshwa, na ndio sababu ya hii comment yako, don't fool yourself and your audience, huna furaha wala Amani kwa nafsi yako na unakoelekea na ndoa yenyewe ipo mashakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mmmmh sidhna kama wapo basi ni hao ambao ni wewe
 
wanaume wa dar walivyo wanapenda kuhudumiwa wamekupongeza balaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huyo mwanaume anakutumia na ameshakua tegemezi kwako siku ukija kushtuka its too late. Haiwezekan mapenzi kuwa one sided relationship, mapenzi its give and take, kwahyo kama wewe siku zote ndo unatoa tuu jua imeshakula kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


huyu wa4 kujitambua! NAHESABU TU ! LOL
 
Katika ndoa, furaha, amani, na upendo ndo vitu vya msingi, Mungu kapitishia mibaraka kwako kwa ajili ya familia yenu, kumbuka mu kitu kimoja, endelea hvyo mtabarikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi pia nampa mke wangu pesa yote. Sometimes natoa pesa hata 500k namuwekea tu kwenye dressing table yake. SIPENDI kuombwa matumizi kila wakati. Napenda kumalizana nae kabsaaa. Hata pesa za miradi ya maendeleo anaweka kwenye acc yake. Niko rafu sana kwenye matumizi ya pesa lakini yeye ndio kiboko yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
demi
 
Acha ujinga wewe tengeneza dream zako, jamaa aki-dead( japo sikuombei) ndugu watavipurusa vyote afu hutajiona mjinga. Mwache mwanaume apambane mwenyewe
Wewe huna familia. Na kama unayo na unaipenda utakuwa unesha weka mikakati ya kuwalinda. Hakuna mtu atakuja kuchukua hata sent tano nikifa. Mali zote nazotaka ziwe za familia yangu zimesajiliwa kwa jina langu na mke wangu. So hakuna jina la mjomba kwenye mali zangu atachukua vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari. Dada mi ningekushauri kikubwa ni Communicate na mumeo kuhusu dreams zako na za kwake pia kisha muweke vipaumbele. Vunjavunja vipaumbele into achievable goals na hata ikibidi mziandike na kuzibandika nyumbani kwenu. Namna hiyo Mungu akijaalia mtaweza songa mbele kimaisha pamoja without resentments down the road
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…